everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Labda sio mke wangu, mke wangu namchukulia kama alama ya laana na machukizo mbele za Mungu. Amen.
Duh!!!! Nimesoma na kutetemeka , vipi kuhusu mama yako?
Labda sio mke wangu, mke wangu namchukulia kama alama ya laana na machukizo mbele za Mungu. Amen.
atoto mimi sijasema kwamba kwa sababu kwenye kuzini kwa sababu anayetupiwa mzigo ni mwanamke peke yake basi mwanaume hajafanya dhambi lakhasha mimi nilichosema ni kwamba ushahidi wa kugundua kuwa huyu kazini unakuwa dhahiri zaidi kwa mwanamke kuliko kwa mwanamume, nilitoa mfano wa mwanamke mwenye ujauzito lakini hana mume hii haihitaji mtabiri kujua kuwa alizini, lakini linapokuja suala la mwanamume ni kwamba mpaka mmkamate papo hapo(fragrante delicito).Yaani huyu hata asikusumbue mke mwenza, anachofanya hapa ni kujifariji tu, kitu ambacho hakitoondoa hali ya kuwa wote wametenda dhambi, hapa anatafuta wa kumuangushia dhambi zake ambazo kwa uono wake wa kibinadamu anakuwa amejipa releaf kwa kuwa hakuna evidence, ila inabaki kuwa hiyo dhambi imefanywa na wote na mtunza evidence zote anajua.
mh:fencing:Cc Heaven Sent
Njoo unisaidie kumjibu huyu mtu maana hilo jibu langu mwenyewe linanitisha.
atoto mimi sijasema kwamba kwa sababu kwenye kuzini kwa sababu anayetupiwa mzigo ni mwanamke peke yake basi mwanaume hajafanya dhambi lakhasha mimi nilichosema ni kwamba ushahidi wa kugundua kuwa huyu kazini unakuwa dhahiri zaidi kwa mwanamke kuliko kwa mwanamume, nilitoa mfano wa mwanamke mwenye ujauzito lakini hana mume hii haihitaji mtabiri kujua kuwa alizini, lakini linapokuja suala la mwanamume ni kwamba mpaka mmkamate papo hapo(fragrante delicito).
sasa ubaya unakuja kwamba hata mtu kakamatwa katika hayo mazingira ya pili shutuma zinamwangukia mwanamke kitu ambacho sikubaliani nacho pia.
Labda sio mke wangu, mke wangu namchukulia kama alama ya laana na machukizo mbele za Mungu. Amen.
everlenk aliyebakwa hilo ni jambo jingine ambalo mimi pia sikubaliani nalo na ni la kupingwa kwa nguvu zote kwa jinsi zote.
kwa swali lako la pili hili lipo na si wanaume wote wanashawishika kama nilivyosema hapo juu hata kwa mwanamke anayeshawishiwa ni lazima aangalie madhara ya vishawishi. na kwa taarifa yenu wanaume walioko kwenye ndoa wanakwepa mishale mingi sana kutunza heshima za wake zao kutoka kwa wanawake wenzenu hivyo na wao hawafanyi tu eti kuwaumiza wake zao au wanawake si kweli.
ukifuatilia vizuri comment yangu haikugusia adhabu ila nilizungumzia ushahidi peke yake mamaKhaaah!! Hukubaliani nacho vipi wakati tangu awali unatoa lawama tuuu kwa wanawake, na sijaona hata sehemu moja uliyokiri kuwa wote wanatakiwa kulaumiwa kwakuwa wameshiriki dhambi hiyo?
Mmmmh hata siamini hawa wanaocomment humu kama ndio hawa hawa wanaume wa jf, kama sio wao vile, Heaven Sent umepita huku mpenzi?
Hasanteni kama mmeliona hilo.
ukifuatilia vizuri comment yangu haikugusia adhabu ila nilizungumzia ushahidi peke yake mama
Ni wakati wa mabadiliko, tumeanza kubadilika shemeji
Asanteni kwa elimu yenu...ila nyie ndio mmegoma kubadilika
Labda sio mke wangu, mke wangu namchukulia kama alama ya laana na machukizo mbele za Mungu. Amen.
Bwana shemeji basi mie nitakuwa sio mwanamke maana uvumilivu sina kabisaaa, teh teh teh teh!
Hahahaaaaa!! Tumegomaje sasa bwana shemeji?
everlenk shida wanawake mnapenda sana kukubali na kuitumia kauli hii,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni'sasa hapo mtu apewe haki gani wakati ameshanyongwa? na ukiangalia humu malalamiko mengi ya kina dada kwenye huu uzi yame base kwenye hiyo kauliBasi sawa lakini jambo hilo ilitokea asibebeshwe lawama mwanamke tu.
Mmmmh hata siamini hawa wanaocomment humu kama ndio hawa hawa wanaume wa jf, kama sio wao vile, Heaven Sent umepita huku mpenzi?
Hasanteni kama mmeliona hilo.
Cc Heaven Sent
Njoo unisaidie kumjibu huyu mtu maana hilo jibu langu mwenyewe linanitisha.