Madhila ya mama wa kambo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,833
1470838167861.jpg
1470838172991.jpg

Afungiwa kanisani(kanisa la kishenzi)kwa muda wa wiki mbili kwa kosa la kudokoa kipande cha nyama huko Africa Magharibi.
 
Kumbe makanisani kuna watu wana roho mbaya. Mbona wao wanadokoa sadaka imekuwa shida dogo kudokowa nyama.
 
Makanisa ya kileo ya manabii na mitume

Mgosi siku hizi hakuna makanisa.

Tanga siku hizi hakuna Cinema majengo yote, magic cinema na majestic cinema yamegeuzwa makanisa.

Lakini yanayofanyika humo makanisani ni siri ya humohumo.

Kanisa linatakiwa lijengwe kwa michango ya wana usharika na sio kutumia shule au maukumbi ya ajabuajabu kwenda kupiga yowe usiku kucha.
 
Au Kukodi bar zilizokufa
 
Makanisa ya kileo ya manabii na mitume

Ukiona mtu anajitangaza kuwa ni askofu au mtume ujue lipo tatizo...wao wanatembelea magari ya kifahari, wana majumba makubwa ya kifahari, wengine wana mpaka ndege au helkopta...fedha zinakusanywa 'kinoma' kupitia kinachoitwa 'fungu la kumi'...wengine wanapora wanawake wa waumini wenzao...ni hatari...binadamu bwana, we acha tu...
 
kila ulipoweka mkato, na nukta.... najikuta nawajua kwa majina hongera mtumishi kwa kufunguka
 
Ukiona mtu anajitangaza kuwa ni askofu au mtume ujue lipo tatizo...wao wanatembelea magari ya kifahari, wana majumba makubwa ya kifahari, wengine wana mpaka ndege au helkopta...fedha zinakusanywa 'kinoma' kupitia kinachoitwa 'fungu la kumi'...wengine wanapora wanawake wa waumini wenzao...ni hatari...binadamu bwana, we acha tu...
Halafu wanakunywa pombe na kufanya ushirikina na ibada za kishetani
 
Hahaaaaah, mshana jr naye bwana...hebu leta picha zao tuone kama ilivyo kawaida yako....by the way mshana jr...usimwache shemeji aende kwenye 'makanisa' ya aina hiyo, utalia... tehtehtehtehteh
 
1470919163406.jpg
1470919166465.jpg
picha ya mwisho hizo nyuso ni edition
 
Back
Top Bottom