- Thread starter
- #21
Yule mzee amelifikisha taifa mahali pabaya sana.Jpm alikuwa raisi wa hovyo hovyo sana

Yeye ndie alikuwa mlezi wa vijana mfano wa kina Hamza.Jk alikuwa mwanasiasa mwenye mapungufu yake kama wengine ila Meko alikuwa mharifu wa kiwango cha lami, adi anakufa alishawai kukwambia trilioni 1.5 alizifanyia nini?
Hahaha...Kuna mbunge kajiingiza?Laumu upendavyo, ila Ole wako ujiingize kwenye Ugaidi kama mbunge, Tutakushughurikia ipasavyo
Yeye ndie alikuwa mlezi wa vijana mfano wa kina Hamza.
Rubbish,Mtatumika sana,ila Magufuli is a man of matchNdugu zanguni habari za asubuhi.
Ni shahiri dhahiri sasa tumeanza kuvuna tulichopanda.
Sio mkubwa wala mdogo. Mwenye cheo wala asiye na cheo, tajiri wala maskini sote tumeanza kuonja joto la Jiwe.
Hali ni tete. Sio polisi sio Raia. Sio mtuaji sio mteuliwa. Amani, Umoja, utulivu, heshima vimeanza kuteteleka.
Tatizo lilianzia Awamu ya tano. Ambapo utawala wa sheria, haki na kuzingatia misingi ya demokrasia, uwazi na usawa havikuzingatiwa kabisa.
Ni katika utawala wa awamu ya tano ndipo Tulishuhudia kwa kiwango kikubwa Mtanzania anayepigania haki au kuhamasisha umoja na maelewano alikuwa akipingwa na kupigwa hapa na pale. Dhulma ikawa kila mahali. Kwa matajiri na kwa Maskini.
Mimi binafsi naweza kuvilaum vyombo vyenye mamlaka na vilikuwa na uwezo wa kukinga yasitokee
Kwa mfano. Vyombo vya dola Polisi, Mahakama, Usalama na jeshi la nchi viliwezaje kuruhusu watu kuvunjiwa haki zao kwa maslahi ya wanasiasa wachache??
Kwa mfano umtufikirie kesi 147 zilizosemwa na Rais pamoja na Boss qa Takukuru kuwa zilibambikiwa na kusababisha uhasama mkubwa miongoni mwa jamii, kati ya jamii na polisi na hatimaye na serikali yao.
Mfano wa pili ni tukio baya kabisa kuwa kutoke ktk mfumo wa siasa zetu ambapo mwaka 2020 oktoba Uchaguzi ulivurugwa kuanzia mchakato wa utungwaji wa sheria ya uchaguzi na vyama vya siasa na hatimae mchakato wenyewe wa uchaguzi na hata upitishwaji wa wagombea. Najiuliza hili lilifanyika kwa faida ya nani? Usalama wetu tunaouamini kwa maslahi ya nchi hawa kuanticipate madhara ya matukio yale? Polisi je? vipi Mahakama?
Sasa tunaona madhara yake Tozo, maiamala, uhaba wa ajira, uchumi mbovu na sasa hali mbaya ya mufukoni mwa watu.
Tumeanza kuona watu wakipromote uhasama dhidi ya serikali yao. Tukio la Mauwaji ya juzi pale Salenda ni la kusikitisha. Tena likidaiwa kutekelezwa na Mtu anayedaiwa kuqa ni Kada wa chama cha mapinduzi. Hawa vijana wa Chama cha mapinduzi bila kumung'unya maneno walilelewa na kudekezwa vibaya chini ya mwamvuli wa MATAGA. Hili ni kundi kubwa lililokuwa linahisiwa kufanya uhalifu sehemu mbali mbali za nchi. Ilikuwa si ajabu Kutishiwa na vijana hawa kuwa watakupoteza au wanakwambia kabisa tutakubinya ukose mahali pa kwenda na hwakufanywa chochote na mtu yeyote. Sasa Chatu anamla aliyemfuga.
Sasa nini tufanye.
Tuepuke migogoro inayokwepeka. Mahakama zitende haki, Polisi watende haki. Wadhibiti uhalidu kweli kweli. Usalama wafanye kazi yao kweli kwelikweli. Wenye mamlaka tunawakumbusha tu kuwa Hali ikiwa mbaya nchi hii na wao hawataishi kwa amani.
Tumeona wale tuliowaita mabeberu sasa wanafungasha vilago. Matishio ya ugaidi kwa mujibu qa IGP sasa yameibuka tena.
Haya ni madhara ya utawala usiozingatia sheria, katiba na haki za binadamu.
Asalaam Ale ykum
Wapumbavu siku zote husukumia matatizo kwa wengine!! Jifunze kukabili changamoto zako mwenyewe!! Kuzisukjmia kwa mwingine hakusaidii kitu!!Ndugu zanguni habari za asubuhi.

Hakika kaipata haki yakekijana alieamua kuipigania haki yake kwa vitendo
Hakika kaipata haki yake
2025 yatamtolea mfano mzuri kwenye kampeni zao!Machadema yakifeli kwenye mission zao yakikuwa yanamtupia zigo Magu!
Sasa hayupo na mision zao zimefeli mara mbili zaidi na yanashindwa yamlaumu nani.
Maana huyu aliyepo yalimdemkia mpaka yakawa yanasema bora awe anawapiga huku awapa soda
Kinachoniumiza kichwa ni kwanini Vyombo husika vinavyohusu ulinzi na usalama wa taifa viliruhusu haya kuendelea?ivyo vyote ni mwendelezo aliye viasisi ni meko mwenyewe na genge lake la wahuni kama kina sabaya, inchi ilikuwa ya hovyo hovyo sana
Kama vile IGP anavyotupia matatizo kwa Hamza au sio?Wapumbavu siku zote husukumia matatizo kwa wengine!! Jifunze kukabili changamoto zako mwenyewe!! Kuzisukjmia kwa mwingine hakusaidii kitu!!
Kilicho dhahiri ni kwamba serikali ya awamu ya tano ilitufumbua macho kiasj ambacho hakuna awezaye kutufumba macho tena!! Hakuna wa kutuambia sisi ni maskini!! Hakuna wa kutuambia bila "msaada" wa mabeberu hatuwezi!! Hakuna wa kutuambia mambo ya chanjo ya corona wala nini!! akijaribu atakachoambulia ni aibu!!! Hakuna wa kututishia corona!! Hakuna cha corona wala baba yake corona!! Kilichopo ni upigaji tu na maandalizi ya new world order!!
Ukinisoma vizuri btn line utanielewa. Tozo na miamala ni matokeo ya sera mbovu za kiuchumi za awamu iliyopita. Serikali inafiliska hawana namna zaidi ya matozo. We are living Jiwe' s effect.Mkuu haujaandika vizuri. Unasema kwa mfano hizi tozo ni matunda ya awamu ya tano lakini haujaonesha ni kwa namna gani.
Unasema yule aliyeuwa polisi juzi ni matunda ya awamu ya tano lakini haujasema kilichomsukuma akafanya hivyo..
Kitu pekee ulichoeleweka ni wewe kuwa na uhasama na hayati jpm.
Sasa mama yako kwanini asivitoe?ivyo vyote ni mwendelezo aliye viasisi ni meko mwenyewe na genge lake la wahuni kama kina sabaya, inchi ilikuwa ya hovyo hovyo sana
Hii mada haihusu hata kidogo swala la korona. Corona kajadiliane na GwajipornoWapumbavu siku zote husukumia matatizo kwa wengine!! Jifunze kukabili changamoto zako mwenyewe!! Kuzisukjmia kwa mwingine hakusaidii kitu!!
Kilicho dhahiri ni kwamba serikali ya awamu ya tano ilitufumbua macho kiasj ambacho hakuna awezaye kutufumba macho tena!! Hakuna wa kutuambia sisi ni maskini!! Hakuna wa kutuambia bila "msaada" wa mabeberu hatuwezi!! Hakuna wa kutuambia mambo ya chanjo ya corona wala nini!! akijaribu atakachoambulia ni aibu!!! Hakuna wa kututishia corona!! Hakuna cha corona wala baba yake corona!! Kilichopo ni upigaji tu na maandalizi ya new world order!!
Hata kina Mbowe pia!Yeye ndie alikuwa mlezi wa vijana mfano wa kina Hamza.
Sabaya anaoja nini?? POLEPOLE JE, lini umemuona Palamagamba kabudi kwa mara ya mwisho?? unahisi mambo yako kama zamani?? Je umemsikia Alli Bashiru?? hii ndio kuonja joto la Jiwe.Hujaeleweka kabisa Mkuu,kila mtu anaonjaje joto la jiwe? Hebu kunywa maji baridi urudi kuandika tena!
crimea bwana. Mbowe kakamatwa kwa sababu anapigania kisu cha ngariba a.k.a Katiba Mpya.Hata kina Mbowe pia!
Tunashukuru mama amekuja kulikamata hili gaidi kumbe limelelewa miaka yote likiwa gaidi