stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 812
- 1,753
We acha tuu mkuu!Madhara ya unywaji wa pombe:
- Uharibifu wa ini (fatty liver, hepatitis, cirrhosis)
- Saratani ya ini, koo, umio, matiti, na sehemu nyingine za mwili
- Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu
- Uharibifu wa ubongo na kupungua kwa kumbukumbu
- Uraibu (ulevi wa kudumu / addiction)
- Kudhoofisha mfumo wa kinga ya mwili
- Matatizo ya kiafya ya akili (msongo wa mawazo, wasiwasi, mfadhaiko)
- Kuharibu uwezo wa uzazi na nguvu za kiume
- Hatari kwa mimba (mtoto kuzaliwa na matatizo ya kimaumbile - Fetal Alcohol Syndrome)
- Kuongeza hatari ya ajali (barabarani, kazini, nyumbani)
- Kudhoofisha uamuzi na tabia hatarishi (ngono zisizo salama, ugomvi)
- Uharibifu wa kongosho (pancreatitis)
- Kupungua kwa uwezo wa mwili kupambana na maambukizi
- Matatizo ya usingizi
- Kuongeza uzito kupitia kalori nyingi zisizo na virutubisho
- Migogoro ya kifamilia na kijamii kutokana na ulevi
- Vifo vinavyotokana na overdose au sumu ya pombe (alcohol poisoning)
Mawazo yake na Yako na Yaheshimiwe!Mkuu asubuhi tu unaanza kuisimanga pombe?
Una matatizo?
Ngoja nikupe nyenzo kadhaa ambazo zitakufanya uwe smart forever.
π Hakikisha Una kipato cha uhakika.
πKula vizuri,kula sana,ukiamka na hangover hakikisha unapiga supu au mchemsho wa maana.pia kabla hujaanza kunywa pombe Hakikisha umekula umeshiba.
πFanya mazoezi ya kukutoa jasho mara Kwa mara.
πEpuka pombe za mashindano.
Castle lite beer forever
Madhara ya tungi mtoa mada kahorodhesha hapoNisome nini hapo mkuu?
Sina cha kusoma hapo kabisa , nasoma vitu vikubwa vikubwa na sio notes za kidato cha pili bwasheeMadhara ya tungi mtoa mada kahorodhesha hapo
a nNisome nini hapo mkuu?
πππ au sio bwashee, hutaki kusikia ngonjera, wape watu divai wasahau shida zaoSina cha kusoma hapo kabisa , nasoma vitu vikubwa vikubwa na sio notes za kidato cha pili bwashee
Points ni zilezileπππ au sio bwashee, hutaki kusikia ngonjera, wape watu divai wasahau shida zao
Ahsante bwashee usisahau na kashata mkuuPoints ni zilezile
Lack of capital
Poor infrastructure
Poor government support
Karibu kahawa bwashee
Kitu cha Nescafe hii naipiga kavukavu , niisikie ladha yake kwa undani bwashee π€Ahsante bwashee usisahau na kashata mkuu
Hivi inapunguza hangover hiyo mkuu?Kitu cha Nescafe hii naipiga kavukavu , niisikie ladha yake kwa undani bwashee π€