Madhara ya ulaji wa chips

Madhara ya ulaji wa chips

Huyo anajifaragua tu. Eti asile mchele, viazi na vitu vingine atakula nini? Sumu za kwenye makopo kutoka Afrika Kusini kwenye masupamaketi uchwara? Na wangapi wanaweza kumudu hizo sumu za supamaketi? Anachekesha!

Hahahahahahahahaha
 
Naomba Chipsi Zege isikauke sana changanyia na kachumbari mix mix tia pilipili....tomato redgold chumvi weka pembeni usisahau na ukwaju..
Mwambie wavinywaji alete Pespi bariiidi nikiwa nasubiria
Usisahau mishkaki.
 
Katika mada ambazo huwa naona za kipumbavu ni hizi kwa nini tunaanza kubaguana kwa vitu vidogo eti yule mwanaume sijui wa wapi huyu wa wapi jamani tanzania ni yetu sote kila watu wana staili yao ya maisha tuachane na hivi vitu havitujengi kabisa kama unajua vyakula flani vina madhala kwa mtumiaji jalibuni kutoa elimu kwa walaji sio kukejeliana tanzania ni yetu sote tupendane ukiona mwenzako anakula kibovu muelimishe tujenge taifa la watu wenye afya imala.
Ni utani tu huu mkuu. Relax!
 
take it easy mkuu hizi ni tambo (utani) tu watu hawachukulii seious kiviile ni sawa na watani wa jadi Simba na yanga = wanaume wa dar na mkoa hahahahh
 
Back
Top Bottom