Madhara ya ulaji wa chips

Madhara ya ulaji wa chips

Hivi wewe na akili yako mafuta ya milimita 250 katika sahani moja hivyo viazi si vingekuwa vinaelea? alafu unasema utafiti wa muda mrefu.Ni pumba tu na hilo gazeti liwaombe radhi wasomaji wake kwa kudanganya umma.
Waandikie Mtanzania wafanye marekebiaho kama unadhani ni makosa lakini usinitolee povu mimi kwa sababu sijakulazimisha kufakamia machips haya yaliyopikwa kwa mafuta ya transfoma. Typo ya mwandishi (mzembe) haibatilishi utafiti wote. Hasa hasa wataomba msamaha na kusahihisha kosa basi.
 
Huu utafiti bado una mushkeli!?
Chips zinazotengezwa kwenye friers na mafuta mazuiri kutoka Singida vip !?
Utafute uusome utafiti kwa kina mkuu. Na kama unajua sayansi inavyofanya kazi, matokeo yake yanapaswa kuwa ni yale yale kama tukitumia utaratibu ule ule uliofanywa na watafiti. Sasa wewe umeanza tena kuingiza variables zingine za chips na mafuta ya Singida. Tafiti za kisayansi huwa hazifanyi kazi namna hiyo mkuu!
 
Ndio mana panya rodi wanawapelekesha me mwenyewe najiuliza vitoto vidogo bado vinanuka mkojo vinawapelekesha six packs kivipi kumbe six pax zenyewe ni za maji na mafuta lita 125 duh?
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
wakati huo nyie mtakuwa mnakula nn??kwl nyie poyoyo
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
 
tunakulaga alf mechi ya nguvu kwa madem zenu wa mkoanai
 
tatizo lenu wa vjijin mmedumaa kwa pombe za kienyeji, mnakula dona/harage alaf mnaenda kulichanganya na komoni,nipa. ndo mana utakuta kijana wa miaka25 ukimleta dar tunamuita babu
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.

Kituko, so anza kubwia cocaine kuwasaidia wauzaji, hizi ndo akili za mijitu ya Dar mila chips
 
tatizo lenu wa vjijin mmedumaa kwa pombe za kienyeji, mnakula dona/harage alaf mnaenda kulichanganya na komoni,nipa. ndo mana utakuta kijana wa miaka25 ukimleta dar tunamuita babu
we nae ni mzaramo halisi au poli.leo hii wa tandahimba naww umekuwa wa dar na kashfa kibao.acha ulimbukeni dogo
 
tatizo lenu wa vjijin mmedumaa kwa pombe za kienyeji, mnakula dona/harage alaf mnaenda kulichanganya na komoni,nipa. ndo mana utakuta kijana wa miaka25 ukimleta dar tunamuita babu

Aiyekaa Dar hakai kijijin mbwiga wewe
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
Mtakufa faster maana kila mnachokula chatoka mashambani
Alafu sisi tutadunda na mihogo yetu
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
Ama kweli akili ni mali, kwani na wewe unaweza kuishi bila kula? Mshukuru Mungu vyakula vyote vinapatikana kwa urahisi hapa tz.
 
ukiacha chips yai vipo vyakula vingine vingi vinavyosababisha madhara kiafya kutokana na mafuta yanayopikiwa, kikubwa jamii inahitaji elimu zaidi juu ya mlo kamili (Balance diet) ili kuipa miili madini na virutubisho vyote
 
Wamikoani bhana, kuku hawali wanawawekea wageni wakifika toka Dar
 
Sasa jela ule ugali,mtaani nako ule ugali si unatafuta kuumwa ugonjwa wa mahindi
 
Back
Top Bottom