St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,195
Hilo litakuwa gazeti la mikoani tuView attachment 375048
Chukueni tahadhari!
Hilo litakuwa gazeti la mikoani tuView attachment 375048
Chukueni tahadhari!
Ni gazeti la Mtanzania mkuu tena la leo. Ngoja nikutafutie ishu nzima. Kama ni la mikoani mi sijui!Hilo litakuwa gazeti la mikoani tu
basi atakuwa mwandishi wa mkoaniNi gazeti la Mtanzania mkuu tena la leo. Ngoja nikutafutie ishu nzima. Kama ni la mikoani mi sijui!
Tutakula imported (cornflakes)...baada ya hapo "teleza" atawagongea wakezenu bila pingamiziKwahiyo mkikataa mchele viazi nk mtakula lami
Dona harage hamliwezi
Ni utafiti wa Kisayansi tena wa muda mrefu. Mwandishi kaurejelea tu kwa kunukuu dodoso muhimu. Hakuna mahali ameingiza bias zake. Kwa hivyo hoja yako hii inakufa kifo cha kibudu!basi atakuwa mwandishi wa mkoani
Kisha weka kuku robo,soseji mbili.....duh mkuu umeua wacha wajisifie na maugali yao.Naomba Chipsi Zege isikauke sana changanyia na kachumbari mix mix tia pilipili....tomato redgold chumvi weka pembeni usisahau na ukwaju..
Na Pespi bariiidi
Hivi wewe na akili yako mafuta ya milimita 250 katika sahani moja hivyo viazi si vingekuwa vinaelea? alafu unasema utafiti wa muda mrefu.Ni pumba tu na hilo gazeti liwaombe radhi wasomaji wake kwa kudanganya umma.Ni utafiti wa Kisayansi tena wa muda mrefu. Mwandishi kaurejelea tu kwa kunukuu dodoso muhimu. Hakuna mahali ameingiza bias zake. Kwa hivyo hoja yako hii inakufa kifo cha kibudu!
Kwa kweli...! 250ml za mafuta kwenye sahani moja tungekuwa tunayanywa kama supu, ha haaa!Kuna typo hapo. Yaani kweli 250 ml (i.e., robo lita ya mafuta, au ujazo wa chupa moja ya coke)? Haiwezekani
Huu utafiti bado una mushkeli!?View attachment 375048
Chukueni tahadhari!
Vita itoke wapi kama panya road Tu huwalaza uvunguni ?Ha ha ha ... Naona kuna vita flan inakuja hapa
Ukweli siku zote hukera kwa wasiotaka kuusikiahizi kauli mi zinanikera sana!!
Wakamkaribisha na mkuu wa wilaya kwenye festival la chipsHehehehe dah nyie watu bana
Kuwa serious kidogo yaani gazeti liombe radhi wala chips?Hivi wewe na akili yako mafuta ya milimita 250 katika sahani moja hivyo viazi si vingekuwa vinaelea? alafu unasema utafiti wa muda mrefu.Ni pumba tu na hilo gazeti liwaombe radhi wasomaji wake kwa kudanganya umma.
Wakamkaribisha na mkuu wa wilaya kwenye festival la chips
Unamaanisha lile shindano wanzilishi ni jamaa zake KAOGE? wewe, KAOGE na waanzilishi wa lile shindano wote kaya moja! Endeleeni kulima, sie huku tunawalisha dada zenu, kisha TUNACHEKA KWA DHARAU!walivyo wabishi wameanzisha na shindano la chipsi mayai kabisa