Madhara ya ulaji wa chips

Madhara ya ulaji wa chips

Katika mada ambazo huwa naona za kipumbavu ni hizi kwa nini tunaanza kubaguana kwa vitu vidogo eti yule mwanaume sijui wa wapi huyu wa wapi jamani tanzania ni yetu sote kila watu wana staili yao ya maisha tuachane na hivi vitu havitujengi kabisa kama unajua vyakula flani vina madhala kwa mtumiaji jalibuni kutoa elimu kwa walaji sio kukejeliana tanzania ni yetu sote tupendane ukiona mwenzako anakula kibovu muelimishe tujenge taifa la watu wenye afya imala.
 
Na mkiwagonga hawasikii chochote wanarudi Igunga kila weekend. Kazi Dar mapenzi mikoani
Igunga kuna wanaume? Mmeshajifia zamani na midawa ya wadudu na moshi wa tumbaku. Nani alileta shanga mjini halafu ukamuona karudi kijijini kupakwa jasho?

Nakuapia, siku dadaako akija huku we njoo tu udai mahari...kujaribu kumrudisha ni kumpoteza jumla.
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
hahahahaha povu linakutoka.. kwani umeambiwa viazi matumizi yake ni chipsi tu
 
Ama kweli akili ni mali, kwani na wewe unaweza kuishi bila kula? Mshukuru Mungu vyakula vyote vinapatikana kwa urahisi hapa tz.
We nae acha kujitia mjuaji sana,kwani huoni kua uzi huu ni wa utani wa jadi?kila kitu unatake serous acha mambo yako,kama hujui huu utani tulia usije chefua watu saa hizi.
 
Katika mada ambazo huwa naona za kipumbavu ni hizi kwa nini tunaanza kubaguana kwa vitu vidogo eti yule mwanaume sijui wa wapi huyu wa wapi jamani tanzania ni yetu sote kila watu wana staili yao ya maisha tuachane na hivi vitu havitujengi kabisa kama unajua vyakula flani vina madhala kwa mtumiaji jalibuni kutoa elimu kwa walaji sio kukejeliana tanzania ni yetu sote tupendane ukiona mwenzako anakula kibovu muelimishe tujenge taifa la watu wenye afya imala.
Utani tu mjomba usichukulie kila kitu serous utakufa mapema kwa mawazo,kwa taarifa yako mada hizi ukichunguza kwa undani zinaanzishwa na watu ambao wako dar na ni walaji wa chipusi.
 
hahahahaha povu linakutoka.. kwani umeambiwa viazi matumizi yake ni chipsi tu
Povu langu ukilichunguza utahisi kuna harufu ya vyakula vyenye kiwango cha phd,wewe wa porini vipi?
 
Ukimkuta mtu wa mkoani anacheua mbele yako kama unatatizo la moyo unaweza aga dunia harufu inayotoka hapo hata choo cha stend ya igunda kina afadhari,ukiuliza kwanini unaambiwa sisi wanaume tunakula sana ugali,tehteheh
 
ulitaka tuanzishe shindano la kula mlundikano wa ugali asubuhi?then mbona afya zenu ziko ovyo sana kulinganisha na hao wa chips?
 
Attachments

  • IMG-20160707-WA0001.jpg
    IMG-20160707-WA0001.jpg
    46.2 KB · Views: 35
  • IMG-20160325-WA0015.jpg
    IMG-20160325-WA0015.jpg
    123.3 KB · Views: 35
Unamaanisha lile shindano wanzilishi ni jamaa zake KAOGE? wewe, KAOGE na waanzilishi wa lile shindano wote kaya moja! Endeleeni kulima, sie huku tunawalisha dada zenu, kisha TUNACHEKA KWA DHARAU!
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
tutakula wenyewe na dhiada
tutauza Kenya na kwingineko. nyie je
 
Hivi wewe na akili yako mafuta ya milimita 250 katika sahani moja hivyo viazi si vingekuwa vinaelea? alafu unasema utafiti wa muda mrefu.Ni pumba tu na hilo gazeti liwaombe radhi wasomaji wake kwa kudanganya umma.
Muulizie mwandishi wa habari amekuwa mwana sayansi? Waandishi wenyewe ukiwapa laki tu wanaandika uzushi unaotaka.
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
Bahati mbaya sana, nyie ni hohehahe, hamwezi kuacha hata kimoja. Coz mnakula chips
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
Tanzania ni kubwa mno, ina mikoa 28 Dar ni Mkoa mmoja tu, mkigoma tutauza mikoa 27 iliyobakia na tutakuwa Poa tu.
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
mta survive vipi sasa na nyie? wapi wakiweka mgomo wakulima na wanunuzi nani ataumia zaidi?
 
Back
Top Bottom