Madhara ya pombe za bure kutoka CCM Igunga...

Nadhani kanywa gongo aka chang'aa aka nyeupe, maana naona chupa ya soda, pombe hizo mara nyingi kipimo chake ni ujazo wa chupa za soda. Thats why wanywaji wake wakiagiza utasikia naomba fwanta moja, hapo ujue gongo katika ujazo wa chupa ya fanta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…