Madhara ya kutumia screen touch

Touch screen ni input device kama ilivyo keyboard na mouse etc. Touch screen zipo za aina 2 .
1. Resistive touch
2. Capavitive touch.

Almost simu zote za kisasa zinatumia capacitive touch kwani resistive touch ni ya zamani na imebaki kutumiwa na screen zisizohitaji gestures ngumu, kwani hizi pia sio multi-touch.

CAPACITIVE TOUCH
InaSense capacitance ya kitu chochote chenye capacitance e.g kidole chako au any special capacitive stick/pen.

Touch screen haitegemei damu wala haina uhusiano wowote na damu ya kiumbe chochote.
 
Back
Top Bottom