Madhara ya kutumia machine kunyoa sehemu za siri

Madhara ya kutumia machine kunyoa sehemu za siri

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,041
Reaction score
134,312
Wakuu hii ni jumapili, tusichoshane!
Hope sio peke yangu niyewahi kuambiwa kuwa kuna madhara kutumia mashine ya umeme kunyolea ''sehemu za siri''.
Kwamba mashine hizi zinapunguza nguvu za kiume.
Tunaidiane ku-clear doubt hii, maana nguvu za kiume ni bidhaa adimu sana siku hizi. Tunguvu twangu tuchache tusijepotea kabisa nikaanza kuleta siasa wakati wa kugegeda
 
Wazushi tu hao.

bongo5.com/song-young-dee-ft-mwana-fa-ben-pol-fununu-12-2013
 
Wakuu hii ni jumapili, tusichoshane!
Hope sio peke yangu niyewahi kuambiwa kuwa kuna madhara kutumia mashine ya umeme kunyolea ''sehemu za siri''.
Kwamba mashine hizi zinapunguza nguvu za kiume.
Tunaidiane ku-clear doubt hii, maana nguvu za kiume ni bidhaa adimu sana siku hizi. Tunguvu twangu tuchache tusijepotea kabisa nikaanza kuleta siasa wakati wa kugegeda

Sikuwahi kufikiria kuwa kuna watu wanatumia mashine za umeme kumoa marvz
 
Najaribu kutengeneza chain ya logics inagoma..

Mashine ya umeme inapunguza hormone za kiume au inazuia utengenezaji wa mbegu? Na kama inaweza, kwa namna gani?
 
Nimetumia mashine za umeme tangu 2007... hadi sasa betri ipo full chaj...
Inapunguza baada ya mda gani?
 
duh.sasa kwa wale wenye msitu wa Amazon itakuaje.maana kiwembe lazima kidunde
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom