mtimkav
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,034
- 662
Mhh ngoja waje waseme,mi ntasoma tu
We hunyoi? Had tusubiri waje
Mhh ngoja waje waseme,mi ntasoma tu
Huko kila kinawezekana hadi wigi linasukiwa huko!Sikuwahi kufikiria kuwa kuna watu wanatumia mashine za umeme kumoa marvz
kwani wewe unanyoleaga nini dada
Wakuu hii ni jumapili, tusichoshane!
Hope sio peke yangu niyewahi kuambiwa kuwa kuna madhara kutumia mashine ya umeme kunyolea ''sehemu za siri''.
Kwamba mashine hizi zinapunguza nguvu za kiume.
Tunaidiane ku-clear doubt hii, maana nguvu za kiume ni bidhaa adimu sana siku hizi. Tunguvu twangu tuchache tusijepotea kabisa nikaanza kuleta siasa wakati wa kugegeda
Mmh ni kunyoa au kupiga punyeto, si itakuwa inatekenya sana??!!
Nang'oa tu kama majani....
Kuna mkuyat wa kinigeria unaitwa brantachii... ukiupata mzee utaweka heshima Dar nzima..
Poa Nimesikia Nakua Nanyoa Kwa Mkazi,hapo Vip?
karibia inaisha
unapatikana wapi mkuu.kama vipi ni-pm hii ni big deal kwangu
Leo ndio nimejua kuwa kinena huna kinanyolewa vinywele.Hakuna kitu kama hicho!Unanyoa kwenye kinena nguvu za kiume zitapunguaje hebu tumia logic!!
Wewe unaitumia adi kunako kinena?Hakuna kitu kama hicho!Unanyoa kwenye kinena nguvu za kiume zitapunguaje hebu tumia logic!!
Wewe unaitumia adi kunako kinena?
Si tule tuhRge tunapokaa(correct me if am wrong)kwani kinena ni nini?
Sikuwahi kufikiria kuwa kuna watu wanatumia mashine za umeme kumoa marvz[/QUOTE]
Najarbu imagine zile complex curves za huko down hiyo mashine anaitembezaje??????
Teheeee mkuu hii issue inabidi uwe fasta kama unamnyoa mwenzio maana huchelewi kuondoka na sehemu ya p.mbu! Yataka uzoefu kidogo...