Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Abaryi ya siku mingi kumbe yeye ikohaha nakusubiri
Abaryi ya siku mingi kumbe yeye ikohaha nakusubiri
hahaha ndo wale wanavaa condomu mlegezo!
yah nikweli, pia kutumia kondom ni dhambi na machukizo kwa mungu!mhhh,nimesikia tu baadhi ya wanaume wakilalamika eti kondom zinaumiza mishipa ya uume, ,,,sa sina uhakika hivi ni kweli au uzushii tu
mi nazitafuta condom zinazopunguza ladha.mwenye kujua jina lake tafadhaliMampira yanaumiza hayo, kwanza yanapunguza utamu....
Achana nazo usiwe unazivaa.mimi ni mmoja wapo zinaniumiza sana nikivaa
binafsi sija experience tatizo hilo isipokuwa ukitumia hiyo kitu ladha inapunguamhhh,nimesikia tu baadhi ya wanaume wakilalamika eti kondom zinaumiza mishipa ya uume, ,,,sa sina uhakika hivi ni kweli au uzushii tu
Mkuu Jaribu kutumia brands tofauti coz hata mimi niliwahi kuwa na tatizo kama hilo especially nikitumia ruff rider. Nilishauriwa niwe nabadilisha brand ya condom mpaka nitakapo ipata ambayo nipo comfortable nayo na nilifanikiwa.mm nikivaa kondom sikojoagi kabisa inabana sana misuli mwishowe navua napiga dry