Kwanza kabisa unatakiwa uelewe maana ya kutotambua matokeo pamoja na JK.Wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi Tamko la Dk slaa kwamba Chadema haimtambui JK kama rais wa Nchi lina madhara yeyote kwa CCM au serikali iliyopo madarakani? na mimi kama mwana-CHADEMA nifanye nini ili kuonyesha kwamba simtambui Rais?. Maana majuzi nilitaka nikatae kumpisha barabarani kwasababu na mimi simtambui kama ni rais wa Tanzania lakini roho yangu ilisita kidogo.
Wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi Tamko la Dk slaa kwamba Chadema haimtambui JK kama rais wa Nchi lina madhara yeyote kwa CCM au serikali iliyopo madarakani? na mimi kama mwana-CHADEMA nifanye nini ili kuonyesha kwamba simtambui Rais?. Maana majuzi nilitaka nikatae kumpisha barabarani kwasababu na mimi simtambui kama ni rais wa Tanzania lakini roho yangu ilisita kidogo.
Hee!Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais
Ningependa sana ningelikuwa mbunge nioneshe mfano wa kutomkubali maana hata kwenye quote zangu sitamtaja rais nitamtaja kwa jina lake bila kuainisha cheo chake.Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais
Wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi Tamko la Dk slaa kwamba Chadema haimtambui JK kama rais wa Nchi lina madhara yeyote kwa CCM au serikali iliyopo madarakani? na mimi kama mwana-CHADEMA nifanye nini ili kuonyesha kwamba simtambui Rais?. Maana majuzi nilitaka nikatae kumpisha barabarani kwasababu na mimi simtambui kama ni rais wa Tanzania lakini roho yangu ilisita kidogo.
Ningependa sana ningelikuwa mbunge nioneshe mfano wa kutomkubali maana hata kwenye quote zangu sitamtaja rais nitamtaja kwa jina lake bila kuainisha cheo chake.
Madhara yapo kwake sana kisaikolojia.
mie nimeshajitoa kusikiliza hotuba zake tena sana sana nitasoma quotes zake chache pale media itakapomake headlines na nitazitumia kikamilifu kumjaji huyu MCHAKACHUZI
Kitu ambacho nasubiri nione ni je kama wabunge wa Chadema watatoka nje ya bunge pindi Kikwete atakapokuwa anahutubia
Hivi sheria na kanuni za bunge zipoje ktk swala kama hili la kutoka nje ya ukumbi?
Isije ikawacost na tukawapoteza mashujaa wetu.
Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais

Hii iko sawa dawa ya mwizi ni kumuita mwizi watu wamjue.Ngoja tuone hatua ifuatayo.Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais
Leo nimesoma gazeti la mwananchi,ambapo inasemekana Wabunge wa CHADEMA wameamua kuendelea kukaa bungeni wakati rais atakapokua anahutubia bunge!!mimi binafsi sikubaliani nao,ningependa watoke bungeni wakati rais atakapokua anahutubia!!