Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

yuko anasafisha uharibifu uloletwa na kimbunga Sandy.

  1. Madhara yake unaweza kubaka.
  2. Kutofikia mshindo (This's a pretty big one).
  3. Kutopata watoto (no passing one's genes on to the next generation).
  4. Kama una mme/mke anaweza kukuacha.

Vipi upo Afghanistan?
 
ni kweli, nachopinga ni kusema kuwa hakuna madhara kabisa.

Yapo, kushindana na ny... Sio kazi rahisi, hata ukiona mlingoti unaufananisha na mshedede.

madhara ya kutofanya ni madogo zaidi ya kufanya pale mazingira hayaruhusu. Its just a matter of cost benefit analyis
 
Matokeo yake unakuwa vipi ?

Kwa wanawake, matezi ya uzazi yanaweza kukuandama.

Hysterical flani hivi,,,

Mwanaume kazi huwezi fanya ukatulia, kusoma huwezi soma ukatulia,,kila unachokiona unataka kurukia tuuuu,,mwisho kabisa inaathiri ubongo,,kuuza mechi inakuwa rahisi kupita kiasi,,,
 
Sio kila anaye kaa bila kufanya mapenzi anapata madhara, sijawahi kusikia mtu asipo fanya mapenzi haswa kama umekusudia sex anakufa, au anakuwa kichaa, wale vichaa wakubaka ni akili zao tu mbovu zinawaza kubaka tu.


Ushauri wangu kama umepata mke we jitahidi sana kila siku kudandia bembeya, mpaa pale atakapo sema leo hakuna kubembea
:biggrin1:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom