Je, Wanawake nao hujichua? Nini Madhara yake?

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,494
UKWELI NI KWAMBA, Wanawake Nao Wanajichua Au Wanapiga Punyeto Kama Wanaume Na Kitendo Hicho Kina Madhara Kiafya Kwao Kama Ilivyo Kwa Wanaume Hivyo Kukaa Kimya Bila Kulizungumzia Hili Ni Kutowatendea Haki.
Haya Ni Baadhi Ya Madhara Anayoweza Kuyapata Mwanamke Anayejichuaa Au Kupiga Punyeto;

1. Kupoteza hisia, inakufanya ukose hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

2. Kuwa na uke mlegevu, yaani mtepeto.

3. Kupelekea maumivu ukeni, ukikutana na mwanaume wakati wa Tendo.

4. Huwezi kujua raha ya tendo la ndoa ukizoea sana punyeto.

5. Kukupelekea kuchelewa kufika kilele pindi ukikutana na mwanaume.

6. Pia ukiizoea sana itakupelekea kufanya mapenzi ya jinsia moja. (Kusagana)

7. Inakufanya kuwa Mvivu na hasira za mara kwa mara zisizo hata na sababu.

NB: Tujitahidi Kuishi Natural.

Credit to :Mr Health, Mkunga-Og
Screenshot_20230717_084904_Twitter.jpg
 
Uongo, yote yaliyoandikwa hapo, nyeto ni nzuri sana kwa mwanamke kwanza inamsaidia kuujua mwili wake vema, inamsaidia kua muaminifu endapo yupo mbali na mwenza wake, inampa utulivu wa akili na nafsi hawi mapepe mapepe na kujichekesha hovyo akiona mwanaume, kama nyeto kwa mwanamke ni chanzo cha usagaji basi na kwa mwanaume ni chanzo cha ushoga,

NB: too much of anything is harmful.
 
Pole sana mkuu, hopefully umeacha na sasa upo sawa kabisa
asante mimi ujana wangu nimepitia vitu vingi kasoro kusagwa na kufirwa lakini nimepitia mapenzi ya misuko suko ya furaha ya watu wazima ya wadogo zangu huko kujichua nilikua sina bebe sasa hivi ni mim nafanya kukinai sometimes, nilishaacha mbona tangu nimpate bab mwana mambo ni muswano kitanda ndio shahidu tunavyokisulubisha
 
Back
Top Bottom