Madhara ya kurithi/kupewa MAJINA YA MABABU/MABIBI!

under the same sun

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
160
Reaction score
37
Wana JF,

Kuna kasumba ya wazazi kuwapa watoto wanaowazaa majina ya (kiukoo) aidha ya babu ama bibi, ukiachilia mbali majina yetu haya ya kawaida kwa maana majina ya wakristo, kwa walio wakristo, na waislam, kwa walio waislam.

Sasa swali langu ni kwamba: Yapi madhara ya kumpa jina mtoto, mwanao, jina la ukoo?

Maana nilishaskia (some story) huyu mtoto ana tabia kama babu yake, au mlevi, mcheshi, kama bibi yake.

Karibuni tulijadili hili swala wana JF!
 
Wana jf naomba kujua ni zipi faida na hasara za kupewa jina la ukoo? kwa mf; utakuta mzazi anampa mwanae jina la babu/bibi mwanae, tofauti na jina la kawaida (la ukoo) na baadae unakuta baadhi ya tabia anakuwa nazo aliyepewa hilo jina, sasa wana bodi kuna madhara ya kumpatia mwanao jina la kiukoo? ukiachilia mbali majina yetu ya kawaida? karibuni,,,,,
 
if you are black shine black. m tz halisi ni kama TUNDU LISSU. NGEMARA TEGABWAGE. majina yote ya kibantu yaani inapendeza. sio mtu unaitwa Humphrey Shitman Joseph George. Hujui ni mtz au muingereza au muarabu. unaona wahindi. majina hawaigi wala chakula.
 
Ninavojua mimi , jina la ukoo kwa wakati huu litakuwekea kiwingu sana kwenye maofisi wakati unapotaka kupenyezewe kimemo chako cha kazi za kujuana , maana kazi za siku hizi ni undugulization ,sasa mtoto akitaka kazi mahali ambapo babayake anafanya kazi, nadhani mizengwe itaanzia kwenye majina yao endapo watakua wanatumia jina moja la ukoo.
 
Sijui Lateni ni ukoo gani wa kiafrika au mhindi?
 
Ninavojua mimi , jina la ukoo kwa wakati huu litakuwekea kiwingu sana kwenye maofisi wakati unapotaka kupenyezewe kimemo chako cha kazi za kujuana , maana kazi za siku hizi ni undugulization ,sasa mtoto akitaka kazi mahali ambapo babayake anafanya kazi, nadhani mizengwe itaanzia kwenye majina yao endapo watakua wanatumia jina moja la ukoo.

I believe in african authenticity. Usiponipa favour potelea mbali lkn lazima identity yangu na mababu zangu niambatane nayo. hata jina ntumialo humu ni authentic. why should one hide his her identity.? Tusitawaliwe mpaka tujione hatufai jamani. usiogope kula ndizi mbele ya wazungu. Tuwe kama waganda
 
SiKutishi
KUNA MIMBA ZINGINE.ZIMETUNGWA BAR MKUU SIRI ANAJUANMAMA SASA UKIMPA JINALAMAMA US ISHANGAE AKARITHI

WAPO WALIOPEWA MAJINA YA MAMA AMA BIBI SIKUTISHI BIBI AKAACHIKA MWANAE YAANI MAMA AKAACHIKAPAKA LEI WAJUKUU WENGINR WAMEOGOPA KABISA KUOA AMA KUOLEWA SABABUBU YA JINA.
 
Pdidy; SiKutishi

Mkuu kama vile sijakuelewa vile, na sijapata jibu sahihi!
 
Kuna watu ukipewa majina yao una beba na tabia zao kabisa.
 
Mara nyingi inatokea kwa mfano bibi alikuwa na tabia fulani nzuri au mbaya au hata babu yule mtoto utakayempa jina linalofanana na hao watu lazima atarithi zile tabia za yule mwenye jina mimi nina ndugu zangu wengi wamepewa jina la mtu fulani kwenye ukoo wetu basi wale wote waliopewa lile jina ni wakorofi mno yaan ni wagomvi sana kufuatilia historia ya mwenye jina na yeye unaambiwa alikuwa mkorofi sana
 
Unachosema mdau ni cha kweli kabisa, sasa nini kifanyike? au tupewe tu majina ya kawaida haya ya (wazungu)?
 
Kuna watu ukipewa majina yao una beba na tabia zao kabisa.

Hata hayo majina tuliyoletewa na meli pa1 na mashua ukiwapa watoto hvyo hvyo. Fanya kuwachunguza watu kadhaa wenye jina fulani utakuta kuna vitu vingi wanafanana!
 
Ninavojua mimi , jina la ukoo kwa wakati huu litakuwekea kiwingu sana kwenye maofisi wakati unapotaka kupenyezewe kimemo chako cha kazi za kujuana , maana kazi za siku hizi ni undugulization ,sasa mtoto akitaka kazi mahali ambapo babayake anafanya kazi, nadhani mizengwe itaanzia kwenye majina yao endapo watakua wanatumia jina moja la ukoo.

Haya "Bwana Winston Churchill" unaeabudu kuajiriwa!!!
 
I believe in african authenticity. Usiponipa favour potelea mbali lkn lazima identity yangu na mababu zangu niambatane nayo. hata jina ntumialo humu ni authentic. why should one hide his her identity.? Tusitawaliwe mpaka tujione hatufai jamani. usiogope kula ndizi mbele ya wazungu. Tuwe kama waganda

Atakuja na jina lke la kitumwa wakati mm naangalia jina la kiafrika hasa, ndipo atasaga meno
 
Back
Top Bottom