Madhara ya Kula Ugolo

Madhara ya Kula Ugolo

Wabibi wa kikwetu walikula ugoro sana miaka iyo, achana na vijana wa sasa
 
*Madhara ya Kula Ugolo

1. Mfumo wa Chakula
  • Kichefuchefu na kutapika
  • Maumivu ya tumbo na kuchoma koo
  • Kuharisha
  • Vidonda vya tumbo

2. Ubongo na Neva
  • Kizunguzungu na kupungua fahamu
  • Kusahau na kushindwa kufikiri vizuri
  • Kuchelewa kwa uamuzi
  • Kulevya - unategemea ili "upate raha"

3. Viungo vya Mwili
  • Ini kuharibika - ini ndilo huchuja sumu
  • Figo kuharibika
  • Mapafu kushindwa - hasa kama unavuta kemikali zake
  • Moyo kupata matatizo

4. Mengineyo
  • Utapiamlo - unakosa virutubisho
  • Meno kuharibika
  • Ngozi kuwa mbovu
  • Hatari ya kifo kama ni kiasi kikubwa

Kemikali hatari ndani ya ugolo: toluene, acetone, benzene. Hizi ni sumu.
Mbona nawaona wengi tuu wala ugoro wako fresh tuu na hawana hivi vitisho ulivyoorodhesha hapa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom