Hakikisha unafanya mazoezi kuzuia kitambi cha lagerMno bwashee, leo nimeona nipate bia za moto na nguruwe kidogo
Sawa ila na wewe kwenye mada yake ijayo uandike hiyo na sio IyoMkuuu ugolo ni nini??
Kwenye mada yako ijayo sasa tunaomba uongelee madhara ya kula ugoro..!
Iyo ugolo tumeshajua..
Nicotine ina uraibu wa hali ya juu
Ile taka taka hapana bwashee, nikiwa chuo nilimeza ugoro nikaona nyota nyota , labda ule wa masai una vibe la chafyaUgoro unaongeza nguvu za kiume mnooo... Hogo linasimama kama kisiki cha mpingooo.. Unapiga shoo za kibabe sn ni mwendo wa makojozii tuu
Hahaha uhakika mekuHakikisha unafanya mazoezi kuzuia kitambi cha lager
Kama unapenda pombe sawaMimi mfano Kila jioni lazima ninywe konyagiiii ndogo moja then nirudii kujumuika na familia
Currently nimeacha pombe Kali maana zilianza kunipa hali tofauti now Kila jioni napiga BIA MBILI then naenda nyumbani
Nilicho jifunza Mimi pombe kwangu hunipa nguvu na energy ya kupembua mambo hivyo mambo yanaenda vyema
NB. Waraibu ni wabishi mno unakumbuka chid benz alivyo kua Teja ujuaji na ubishi mwingi sanaa now Mungu kamsaidia kakaa sawa
Hiyo sio kukosea spelling , sisi sio wajinga .Kama kungekuwa ba batani ya kublock mtu hapa Jf hawa ambao mnakosoa spelling ningeblock wote
maana kuna watu kaz yao ni hio tu mimi siwez kuvumilia mkosoaji wa kila kitu
Vijana waache kabisa ugoro mbaya sanaInaharibu fizi na meno siku hizi ni starehe ya vijana
Hapana! SitumiiWewe hutumii ugoro?
Umeokoka coca?Hapana! Situmii
hawasikii hawa watoto pombe kali mixer ugoro na energy drink.Vijana waache kabisa ugoro mbaya sana
Sija okoka, ila Ugoro situmii.Umeokoka coca?
Mfano wa vilevi gani unatumia?Sija okoka, ila Ugoro situmii.
Kuna vilevi vingine natumia, lakini hii hapana.
UlanziMfano wa vilevi gani unatumia?
Si unaona siku hizi kuna over stimulation. Kikubwa ni kujaribu kuwaasa waachane na makundi maovu.hawasikii hawa watoto pombe kali mixer ugoro na energy drink.
Hahaha pombe gani inaua magoti 😁 ile kwa sisi wanaume ni taka taka kabisa labda kwenuUlanzi