Ndo maana unakimbilia nje kwa kasi ya roketi
Hebu tukumbushe basi mjukuu mpendwa, boss wa wajukuu wote @ Kongosho,
Hiyo margina utility inasemaje?
Babu DC!!
l SUPPORT YOU 100%This post is Satanic.
nakupenda kwa vile una akili za fasta fasta. sasa unadhani kunyimwa unyumba kunaqualify hapa kwa mtambuzi? lol
"NO SEX WITHOUT MARRIAGE"
Sidhan kama kuna sayansi mbele ya Mungu vitabu vyote vya dini vinakataza, acha nijikandamize kakini kama sijaoa NO NGONO
Mungu atanisaidia
YUKO WAPI HUYO SATAN HAPA POTEZEA TUSIKWAZANE HAPA JF IS STREEESSSSS FREEEE ZONE LOL NENDA SIASA KULE NAWE UKANDAMIZE SIASA AU SIO Mtambuzi atuache sie tukandamize ngono huku lol
Zambia kuna makaburi yameandikwa pale mlango wa kuingilia
'One day, we were like you'
Ndio, kunakwolifai
Jamii ujue inakataza kataza sana kupeana uroda, imeweka masharti weee ambayo wala hayawahusu wafanyayo wawili. Angalia asemavyo Wema, Lulu, na wengineo.
Isingekuwa stigma ya jamii watu wengi sana wangejiachia na miuroda hadharani
lakini hawawezi sababu ni 'vibaya=dhambi, huna staha, harage la mbeya na mengineyo'
Hii imefanya vichwa vya watu vimekuwa uroda oriented hata kama hawafanyi.
Sitoi uroda hovyo hovyo sababu nimeaminishwa tangu utotoni mwanamke kujiheshimu, ni mbegu imepandwa nafsini, nikienda kinyume na hilo inanisuta.
Ila kiukweli ningeweza kung'oa mbegu hiyo ningejiachia tu, nani asiyependa starehe iliyo ndani ya uwezo wake? (Assuming hakuna hofu ya ukimwi na mimba zisizotarajiwa pia)
umesema kweli kabisa mkuu, na ndio maana nawashauri wadada humu wasinyimane wapeane tu maana itafika mahali kila mtu ataona hiyo kitu ni ya kawaida kabisa, lakini huko kufichwa kumefanya iwe na thamani isiyostahili na sasa inajenga nyumba na kununua magari...
Ukibahatika kutembelea katika hospitali za vichaa, utashangaa kugundua kwamba karibu asilimia 98 ya wagonjwa hao wameugua kichaa kutokana na kukandamiza tendo la kujamiiana. Pia asilimia 99 ya wanawake wanaougua mpagao au umanyeto (hysteria) hutokana na kukandamiza tendo la kujamiiana.
Isingekuwa stigma ya jamii watu wengi sana wangejiachia na miuroda hadharani
Ila kiukweli ningeweza kung'oa mbegu hiyo ningejiachia tu, nani asiyependa starehe iliyo ndani ya uwezo wake?
nivea, watu kama hao ni wa kuwapotezea tu.YUKO WAPI HUYO SATAN HAPA POTEZEA TUSIKWAZANE HAPA JF IS STREEESSSSS FREEEE ZONE LOL NENDA SIASA KULE NAWE UKANDAMIZE SIASA AU SIO Mtambuzi atuache sie tukandamize ngono huku lol
hapa sio uingereza mkuu we just talk and kidding kama utalichukua lizima lizima usuchanganye na za kwako well an fine.ushauri wa jf changanya na akili zako .Kuhalalisha ngono na watu kutembea uchi sio ushetani Huo.