Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Ngoja nilale kwanza Mtambuzi ..nimesoma nusu naona ukungu wa machoni..ntamalizia kesho na ntachangia io kesho..lol
Daaah hapa kuchangia mpaka kesho hata nimeishia robo tatu
post ndefu sana,,,,usingizi.
ndefu ila ina ka ukweli
dah ngoja niweke alarm asubuhi nidamke kuimalizia why Mtambuzi unaandika ndefu hivi.
Hii thread imenivutia sana ila nitaisoma kesho.
Bandugu bado hamjaamka? tunasubiri mawazo yenu hapa juu ya kukandamiza!!!
samahani kwa kuingia chumbani kwa wazazi bila hodi shikamoo mtambuzi hajambo junior?Kwani ulikuwa hujui kwamba mie ni mfuasi wa DINI ZA KALE?
Mke akikunyina uhausi, ndio wwe hamu ya uhausi inayokuwa kubwa
Kazini mkikatazwa kuvaa jeans ndivyo wee hamu ya kuvaa jeans inaongezeka
SHule mkikatazwa kwenda mjini ndio hamu ya kwenda mjini inakuwa kuwa
Kaizer ngoja nimsaidie Kongosho kwetu kule arusha vijijini tulipokuwa tunaishi early 80's tulikuwa na bafu ambalo halikuw zuri sana ukitulia mahali unakula chabo sasa pindi baba/marehemu mama wakienda bafuni tunafukuzwa maeneo ya jikoni maana bafu lilikuwa karibu,nikawa najiuliza kwani ninini hasa wanachotufukuzia basi siku hiyo mama hakluwepo baba akaenda kuoga mie taratibu nanyata nikala chabo nikaona dushelele la baba yangu basi nikajua kumbe ndio kifichwacho?ila ile taswira hainipotei mpaka leo lol.naonaga aibu sana nikimwona baba yangu Kaizer hii ndio Kongosho anasemelea
khaaaaaakhaaaaa unatokwa tu maneno mtambuzi umelala wapi jana lol!!!1N wakiambiwa kula mtandao wa 0713 ni haramu, ndio watu wanapata hamu ya kujaribu ili kujua kilichomo humo, na ndio sababu ya watu kula mtandao kwa kwenda mbele si makahaba mpaka wanandoa, kila mtu anataka kujaribu
Kaizer ngoja nimsaidie Kongosho kwetu kule arusha vijijini tulipokuwa tunaishi early 80's tulikuwa na bafu ambalo halikuw zuri sana ukitulia mahali unakula chabo sasa pindi baba/marehemu mama wakienda bafuni tunafukuzwa maeneo ya jikoni maana bafu lilikuwa karibu,nikawa najiuliza kwani ninini hasa wanachotufukuzia basi siku hiyo mama hakluwepo baba akaenda kuoga mie taratibu nanyata nikala chabo nikaona dushelele la baba yangu basi nikajua kumbe ndio kifichwacho?ila ile taswira hainipotei mpaka leo lol.naonaga aibu sana nikimwona baba yangu Kaizer hii ndio Kongosho anasemelea
N wakiambiwa kula mtandao wa 0713 ni haramu, ndio watu wanapata hamu ya kujaribu ili kujua kilichomo humo, na ndio sababu ya watu kula mtandao kwa kwenda mbele si makahaba mpaka wanandoa, kila mtu anataka kujaribu
Kaizer ngoja nimsaidie Kongosho kwetu kule arusha vijijini tulipokuwa tunaishi early 80's tulikuwa na bafu ambalo halikuw zuri sana ukitulia mahali unakula chabo sasa pindi baba/marehemu mama wakienda bafuni tunafukuzwa maeneo ya jikoni maana bafu lilikuwa karibu,nikawa najiuliza kwani ninini hasa wanachotufukuzia basi siku hiyo mama hakluwepo baba akaenda kuoga mie taratibu nanyata nikala chabo nikaona dushelele la baba yangu basi nikajua kumbe ndio kifichwacho?ila ile taswira hainipotei mpaka leo lol.naonaga aibu sana nikimwona baba yangu Kaizer hii ndio Kongosho anasemelea
umesema kweli kabisa mkuu, na ndio maana nawashauri wadada humu wasinyimane wapeane tu maana itafika mahali kila mtu ataona hiyo kitu ni ya kawaida kabisa, lakini huko kufichwa kumefanya iwe na thamani isiyostahili na sasa inajenga nyumba na kununua magari...Kweli Mtambuzi,
Ndiyo maana wanawake wengi walimlilia sana Kanumba, inawezekana alikuwa msaada mkubwa kwao!!
Hivi, watu wakiamua kugawiana kama njugu, wataishia wapi? Kuna siku watashiba na kutulia?
Babu DC!!
Mtambuzi mchana ilikuwa mwaka 1988 mchana kabisaaaaaa ila baba hakujua ila toka pale niliona aibu kweli nikajuta kwanini nimekula chaboha ha ha ha haaaaaaaaa, nilikuwa sijacheka leo, lakini kwa huu mfano wako nimecheka sana, duh, ama kweli anything suppressed becomes your attraction.....
yaani kabisa, nivea ukala chabo, hivi mchana kweupe kabisaaaaaa ...................LOL
Dark City n Mtambuzi nyie wazee mmeshajizeekea hebu tuacheni watoto na minato yetu lol naona mnataka kujijengea kadaraja taratibu ili ukiongea na Ciello asiseme no akandamize ngono hahahahahahaahahahaah uzee nomaumesema kweli kabisa mkuu, na ndio maana nawashauri wadada humu wasinyimane wapeane tu maana itafika mahali kila mtu ataona hiyo kitu ni ya kawaida kabisa, lakini huko kufichwa kumefanya iwe na thamani isiyostahili na sasa inajenga nyumba na kununua magari...