party da boy
New Member
- Oct 6, 2014
- 2
- 0
Ni madhara yapi kwa mimba au kwa mtoto yanayoweza kutokea kama mimba ilipatikana wakati mwanaume akiwa anaumwa maleria na yupo ndani ya dozi na akakutana na mwenza wake na kufanikiwa kumpa ujauzito?
Asante sanaHakuna Madhara Yoyote