Madhabahu yenye nguvu za Mungu

Madhabahu yenye nguvu za Mungu

Je kwa eneo la dar es salaam ni sehemu gani kuna kanisa lenye nguvu za Mungu?? Ninaamini katika neno na matendo makuu ya Mungu, ila neno kavu kavu sitaki maana naamini Mungu bado anazungumza na anatenda hadi sasa. Kama nitapata maeneo karibu na kijitonyama itapendeza zaidi
kwa nn usimuombe Mungu mwenyewe akuambie..kwa hiyo hapa unategemea kupata majibu sahihi?,it sounds like ua not serius!
 
kwa nn usimuombe Mungu mwenyewe akuambue..kwa hiyo hapa unategemea kupata majibu sahihi?,ut sounds like ua not serius!
We ulishawahi kuomba mpaka Mungu akasema na ww?? Je unaposali ulimwomba Mungu akakuonesha??
 
Kama kweli uko serious kukutana na madhabahu yenye nguvu za Mungu kwa nini unawauliza wanadamu? Muulize Mungu mwenyewe atakuonyesha. Toa sadaka umsihi Mungu kwa siku saba mfululizo. Omba sana kwa kutumia mistari ya Biblia. Mungu anajua njia atakayotumia kukuonyesha hiyo madhabahu unayotafuta. Ukishaiona katoe hiyo sadaka hapo.
 
Madhabau haitafutwi hivi bali kwa kufunga na kuomba.
Ulishawahi kufunga na kuomba ukaambiwa madhabahu ya kusali???? Unawezaje kuomba ukiwa bado hujajaa roho mtakatifu ukasikia sauti mkuu, ebu fafanua Chief
 
Kama kweli uko serious kukutana na madhabahu yenye nguvu za Mungu kwa nini unawauliza wanadamu? Muulize Mungu mwenyewe atakuonyesha. Toa sadaka umsihi Mungu kwa siku saba mfululizo. Omba sana kwa kutumia mistari ya Biblia. Mungu anajua njia atakayotumia kukuonyesha hiyo madhabahu unayotafuta. Ukishaiona katoe hiyo sadaka hapo.
Utaenda kutoa wapi wakati bado haupo kwenye madhabahu yenye nguvu za Mungu?? We uliwahi kushuhudiwa na Mungu usali katika hiyo madhabahu??
 
Je kwa eneo la dar es salaam ni sehemu gani kuna kanisa lenye nguvu za Mungu?? Ninaamini katika neno na matendo makuu ya Mungu, ila neno kavu kavu sitaki maana naamini Mungu bado anazungumza na anatenda hadi sasa. Kama nitapata maeneo karibu na kijitonyama itapendeza zaidi
Madhabahu ya kwanza ni Moyo wako kijana.

Pia kanisa lenye uwepo na nguvu za Mungu haliuliziwi hivi...sawa?

Imeandikwa zipimeni Roho, kujua kama zinatokana na Mungu.

Kuzipima roho ni wewe kuingia ibadani na kuasses kama yale yanayofanywa na kiongozi wa kanisa ni ya Mungu kweli au ni ya kwake tu kwa maslahi yake.

Ukiomba ushauri kwa watu humu kila mtu atavutia kwa mtumishi wake kwasababu zake au zao.

Aidha, nguvu za Mungu zipo popote alipo Mungu (ambaye ni Roho)...hata hapo ulipo.
 
Kama kweli uko serious kukutana na madhabahu yenye nguvu za Mungu kwa nini unawauliza wanadamu? Muulize Mungu mwenyewe atakuonyesha. Toa sadaka umsihi Mungu kwa siku saba mfululizo. Omba sana kwa kutumia mistari ya Biblia. Mungu anajua njia atakayotumia kukuonyesha hiyo madhabahu unayotafuta. Ukishaiona katoe hiyo sadaka hapo.
Exactly.
 
Ulishawahi kufunga na kuomba ukaambiwa madhabahu ya kusali???? Unawezaje kuomba ukiwa bado hujajaa roho mtakatifu ukasikia sauti mkuu, ebu fafanua Chief
Mara nyingi sana tu nimefanya hivyo. Roho Mtakatifu haujazwi na mtu yeyote au mhubiri yeyote bali wewe mwenyewe.

Ebu uwe unasoma soma Biblia uweze kuelewa haya mambo. Ukiyafanyia ubishi mitandaoni utabaki mtupu.
 
Utaenda kutoa wapi wakati bado haupo kwenye madhabahu yenye nguvu za Mungu?? We uliwahi kushuhudiwa na Mungu usali katika hiyo madhabahu??
Wewee....Mungu ndio huwa anafanya kwanza Moyo wako kuwa madhabahu yake kisha akuelekeze pa kusali...sawa?

Biblia inasema :

Wakutanikapo wawili...watatu kwa jina lake Mungu huwa pamoja nao...hivyo hata nyumbani kwenu au kwako mnaweza kupafanya Madhabahu safi kabisa na Mungu akawa na ninyi.

Ukiulizia hivi utajikuta unazunguka makanisa yote na kuhama hama kila mara mpaka kwa Nabii Tito.
 
Back
Top Bottom