BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Mkuu ukipata naomba unijulishe. Makanisa ya aina hiyo ni very rare kwa sasa!Je kwa eneo la dar es salaam ni sehemu gani kuna kanisa lenye nguvu za Mungu?? Ninaamini katika neno na matendo makuu ya Mungu, ila neno kavu kavu sitaki maana naamini Mungu bado anazungumza na anatenda hadi sasa. Kama nitapata maeneo karibu na kijitonyama itapendeza zaidi