Madhabahu yenye nguvu za Mungu

Madhabahu yenye nguvu za Mungu

Je kwa eneo la dar es salaam ni sehemu gani kuna kanisa lenye nguvu za Mungu?? Ninaamini katika neno na matendo makuu ya Mungu, ila neno kavu kavu sitaki maana naamini Mungu bado anazungumza na anatenda hadi sasa. Kama nitapata maeneo karibu na kijitonyama itapendeza zaidi
Nenda hili, jamaa anaongea na Yesu moja kwa moja. Ila Yesu huo ana mtuma kukusanya pesa tu !
 

Attachments

Nenda tabata relini kwa mchungaji Ron swai..kanisa linaitwa DCT.(Dar Calvary center)pale hutoki kapa labda kama Ni mgeni na unachoulizia...
Kwa hiyo kuna upako wa kutosha na nguvu za Mungu zina dhihirika??
 
Back
Top Bottom