Madhabahu yenye nguvu za Mungu

Madhabahu yenye nguvu za Mungu

Kwa haraka naona una tatizo la kuwa na imani haba, huamini unachoomba kwamba tayari umekwisha kipata. Unakuwa na wasiwasi kiasi kwamba unafikiri kwenda kuombewa na mtumishi mwenye “upako” wa miujiza ya Mungu!
Umeshindwa kusimama mwenyewe.

“Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa. Ila na aombe kwa imani pasipo shaka yoyote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo, na kupeperushwa huku na huku. Maana mtu kama yule asidhani kuwa atapokea kitu kwa Bwana.
Yakobo 1:5-7.
Rebuke
 
Yote yameazishwa na wajanja hakuna dhehebu la Mungu sasa nguvu ya Mungu itatoka wapi? Wewe chunga tu imani yako, hata kama unaabudu mlima vyote ni vya Muumba hivyo unatukuza kazi yake
 
Haya mkuu, ila imani inajengwa kwa kusikia neno la Kristo
 
Yote yameazishwa na wajanja hakuna dhehebu la Mungu sasa nguvu ya Mungu itatoka wapi? Wewe chunga tu imani yako, hata kama unaabudu mlima vyote ni vya Muumba hivyo unatukuza kazi yake
Yaani we ndio bure kabisa, yaani maandiko yanataka kusikia neno la kristo wewe unataka niabudu mlima
 
Roman catholic kupitia sakrament kuu, altare yake imetawaliwa na nguvu za ajabu za Mungu wa mbinguni!
Mhhh misa za katoliki nasikia ni ibada za sanamu mfano kiabudu msalaba na kumsalia bikikira maria lile sanamu sijui ikoje hiyo??
 
Umesema unasikia...!!
Hakuna lolote unalojua kuhusu ibada za kikatoliki!
Ni bora ukatulia, au ukafanya utafiti wa kutosha kabla ya kukurupuka kama ulivyofanya...
Bila shaka wee ni msabato!
 
Haaa ndugu yangu izi ni imani tu.wala usireact hizo ibada za kikatoliki ni zasamu ila tumuachie yeye mola ndiye muweza usiku mwema
 
Back
Top Bottom