KERO Madereva wa mkataba Ubungo halmashauri tunacheleweshewa mishahara

KERO Madereva wa mkataba Ubungo halmashauri tunacheleweshewa mishahara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Jackwillpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
2,539
Reaction score
3,860
Kwako Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Dr .Aaron Kagurumjuli , MADEREVA wa mkataba tumekuwa tunacheleweshewa mishahara kila mwezi hivo kupelekea kufanya kazi kwa mawazo,

Kazi yetu inahitaji kuwa vizuri kimwili na kiakili ,mishahara imekuwa Hadi tarehe 15 ndio inatoka ,hii sio fair kabisa ,tunanyanyasika sana hatuna pakusemea

Mfano mshahara wa mwezi January Hadi sasa hatujapata na hatujui tutapata lini ,

Tunaomba hii KERO itatuliwe ,tunahitaji kufanya kazi bila mawazo .

Asante

Pia soma ~ Manispaa ya Ubungo: Malipo ya mshahara wa madereva yamechelewa kutokana na hitilafu za kiufundi katika mifumo ya ulipaji wa fedha
 
Back
Top Bottom