Tutajuaje sasa maana unaficha tu.
Tutajuaje sasa maana unaficha tu.
Integrity ndiyo humweleza binadamu.
Intergrity ni nini mkuu?Tutajuaje sasa maana unaficha tu.
Integrity ndiyo humweleza binadamu.
Sasa si bora huyo aise ataliwa ila athari hazitaonekana. Ambaye hatumii uzazu wa mpango si ikishanasa anakuletea nawe kisha mtoto wenu.Mkeo kama anatumia njia za uzazi wa mpango, vijiti, vitanzi, sindano au vyovyote, hapo ni kuomba sana Mungu kwa imani yako.
Ukute mwanamke hana elimu, yeye anachojua ni hatari katika ngono ni mimba! Hajui kuwa kuna magonjwa lukuki ya zinaa.
Kuna mengi sana yanaendelea katika maisha ya ndoa na uaminifu ndani ya ndoa.
Japo si mwanandoa, nayaona mengi.
Mimi sijaandika intergrity mkuu.Intergrity ni nini mkuu?
Naamini ila sio wewe.
Ok.. Nilimaanisha hicho icho ulichoandika.. ni nini.?Mimi sijaandika intergrity mkuu.
Nimeandika Integrity.
Nimekuelewa mkuu...naogopa mtoto wa nje kuliko magonjwa.Daby athari zinaonekana kwenye magonjwa boss!
Unataka kuhalalisha kwakuwa anatumia uzazi wa mpango apanue ovyo mapaja?
Hapo ndipo tatizo lilipo.
Na hapo ndiyo nimesema kwa mwanamke ambaye hajui lolote, anakuwa mtu wa kutiwa huku na kule huku ajiliwaza eti anatumia uzazi wa mpango!
Kumbe kuna athari nyingine inje ya kupata mimba.
Nayo ni magonjwa ambayo hupelekea kifo au matatizo ya kudumu na kurudisha maswala ya kimaendeleo nyuma.
Kwa kiswahili si ndio uadilifu...?Da'Vinci Integrity ni kuwa mkweli...honest. Sio tu uonekane mkweli lakini hiyo kweli itoke moyoni.
Ni neno pana saana.
Mfano: nikikukaribisha kwangu kisha nikakupa juice ukanywa ukamaliza nilipotaka kukuongeza ukasema hapana ila nilipokuaga naenda kununua mboga ukafungua friji ukajimiminia kisha ukafuta ushahidi nisijue tayari umekosa integrity.
Mfano 2 : Unafanya kazi kwa kujituma pindi umwonapo boss akitoka tu unategea tayari umekosa Integrity.
Mtoa mada amesema wote mke na mme wote wanachepuka kwa nyakati tofauti. Wewe mbona comment yako imelalia sehemu moja tu ya mwanamke?Mkeo kama anatumia njia za uzazi wa mpango, vijiti, vitanzi, sindano au vyovyote, hapo ni kuomba sana Mungu kwa imani yako.
Ukute mwanamke hana elimu, yeye anachojua ni hatari katika ngono ni mimba! Hajui kuwa kuna magonjwa lukuki ya zinaa.
Kuna mengi sana yanaendelea katika maisha ya ndoa na uaminifu ndani ya ndoa.
Japo si mwanandoa, nayaona mengi.