Madeni na kampuni za kukusanya madeni

How much% per assignment
Hizo hapo rate zetu
Screenshot_20220922-171126_Adobe%20Acrobat.jpg
 
◇ Ni watu wangapi wamefirisika sababu ya mikopo?

◇ Wangapi biashara zao zinachechemea sababu ya pesa iliyoko nje na imeshindwa kurejeshwa

◇ Wangapi wanadai ila hawana uhakika deni lao litalipwaje?

◇ Wangapi watoto wao wamerudishwa nyumbani kisa hawajalipa ada na wana watu pia wanawadai?

◇ Wangapi wamekopesha marafiki, washikaji na wanaogopa kuvunja mahusiano yao kisa Madeni?

Nyakisasa Empire wakisema wamekuja kurejesha madeni/ mikopo yako unatakiwa ushangilie.

Wanakurudisha kwenye biashara

Wanakurudishia matuamaini

Wanakurudishia tabasamu

Watoto watakuwa na uhakika wa kulipa ada.

Watakupa elimu bure namna ya kukusanya madeni yako, na ukishindwa kabisa watakufanyia kazi ya kukusanya madeni yako.

Karibuni wote.
 
Ni wangapi walishatumia huduma ya kampuni za kukusanya madeni?

Kuna changamoto yoyote alikutana nayo?

Waliweza kukidhi matakwa ya mahitaji yake?

Ni maoni gani unaweza kutoa?
 
Leteni madeni yenu yakusanywe!

Au mmesamehe?

Au mnaweza wenyewe?

Utajiskiaje pale madeni yako yanapokuwa tanalipwa wewe ukiendelea na shughuli zako?
 
Back
Top Bottom