Madeni na kampuni za kukusanya madeni

Madeni na kampuni za kukusanya madeni

me nikimkopesha mtu lazima nikamtengeneze nimikukopesha 100k unarudisha 120k hyo 20 naemda kwa dokta anakupigia kisomo na nazi zangu mbili muda ukifika 120 unaileta bila wasi.
kuna dogo sikumtengeneza kabla akaleta za kujuana mixer anakula bata alaf nkamkuta kapata ajali kazimia nkafokoa hela nkajilipa ndo naktoa huduma ya kwanza bodaboda ukimkopesha hawi naa hela kila siku
 
Usitumie Kampuni ya kukusanya Madeni kufanya kazi yako kama hujajiridhisha kama imesajiriwa.

Kama atafanya tofauti mzigo utakurudia ww.

Kabla ya kufanya au kuingia nao mkataba ni bora kujiridhisha kwa;

* Kuona usajiri wao

* Kupata taarifa za kazi walizokwisha fanya

* Record ya utendaji kazi wao

* Speed ya ufanyaji kazi wao.

* Mifumo au utaratibu wanaotumia

Kwa changamoto yoyote kuhusu madeni na ukusanyaji wa Madeni kwa uhakika

Nyakisasa Empire ndio jibu la uhakika.

0782 39 6666

Email info@nyakisasaempire.co.tz
 
◇ Ni watu wangapi wamefirisika sababu ya mikopo?

◇ Wangapi biashara zao zinachechemea sababu ya pesa iliyoko nje na imeshindwa kurejeshwa

◇ Wangapi wanadai ila hawana uhakika deni lao litalipwaje?

◇ Wangapi watoto wao wamerudishwa nyumbani kisa hawajalipa ada na wana watu pia wanawadai?

◇ Wangapi wamekopesha marafiki, washikaji na wanaogopa kuvunja mahusiano yao kisa Madeni?

Nyakisasa Empire wakisema wamekuja kurejesha madeni/ mikopo yako unatakiwa ushangilie.

Wanakurudisha kwenye biashara

Wanakurudishia matuamaini

Wanakurudishia tabasamu

Watoto watakuwa na uhakika wa kulipa ada.

Watakupa elimu bure namna ya kukusanya madeni yako, na ukishindwa kabisa watakufanyia kazi ya kukusanya madeni yako.

Karibuni wote.
Matangazo yako hujawahi kuweka number, unaogopa nin ?
 
Serikali inatoa leseni kwa takataka?

Huoni kama ww ndio unaweza kuwa na mawazo yanayofanana na takataka?

Unajua maana ya dhamana ya mkopo?

Lugha zako mbaya haziwezi kukusaidia.

Jifunze na uelimike.
Taratibu zenu smtz si nzuri ndio maana mnaitwa takataka.
 
Hivi mnaweza kutusaidia kudai za makinikia, 20% mnatia kibindoni.....!
 
Nini maana ya Kampuni ya kukusanya Madeni(debt collection agency)?

Zinafanyaje kazi?

Wanafaika wa hizi Kampuni ni akina nani?

Je,zinasajiriwa na mamlaka gani?

Taratibu zipi zinatakiwa kufuatwa katika ukusanyaji wa madeni?

Tukianza na maana ya kampuni ya kukusanya madeni, ni wakala binafsi wa kukusanya,kufuatilia deni au mkopo kwa niaba ya mdai halisi mpaka pale deni litakapokuwa limelipwa.

Kampuni zinaomba zabuni au zinatafutwa na mtu au watu ambao wana madeni lakini kwa sababu mbalimbali hawana uwezo au muda wa kufuatilia madeni hayo.Sababu zinaweza kuwa Muda wa kufuatilia kuwa adimu,kuepuka vulugu katika kufuatilia deni kwa hiyo kwa maana nyingine wanahamisha risk kwenda kwa kampuni kwa makubaliano ya malipo.

Ufanyaji kazi wa kampuni unatofautiana kutika kampuni moja kwenda nyingine lakini kuna mambo muhimu kabla ya kuanza kufanya kazi ya kudai wanatakiwa wawe nayo;

* Barua ya utambulisho toka kwa mdai halisi kwenda kwa mdaiwa,hii ni kwa ajiri ya utambulisho wa Kampuni iliyopewa zabuni ya kudai deni

* Pamoja na barua mdai anaweza kwenda kukabidhi kampuni ya kukusanya madeni kwa mdaiwa

* Kama deni lilikuwa na dhamana dhamana pia zinatakiwa kuonyeshwa kwa mdai mpya (kampuni)

* Kampuni inatakiwa kuandaa notice kwenda kwa mdaiwa ikiwa na mambo muhimu kama

Kiasi cha deni anachodaiwa

Muda wa kulipa deni tajwa

Madhara au yanayoweza kutokea kama atashindwa kutekeleza notice hiyo ndani ya muda wa notice

Namna ya kufanya malipo.

Pia ikumbukwe barua za notice nakala lazima zibaki kwa uongozi wa mtaa/kata ambayo mdaiwa anapatikana.

Akina nani hasa wanufaika wa Kampuni za kukusanya madeni;

Taasisi za fedha(bank,microfinance,wafanya biashara na watu binafsi).

Kampuni za kukusanya madeni lazima ziwe zimesajiriwa kisheria na mamlaka ya usajiri wa Kampuni kwa Tanzania ni Brela na kupewa cheti cha usajiri, Pia lazima wawe na namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) inanayotolewa na TRA, Leseni ya biashara nayo ni kitu cha lazima kutoka halmashauri,jiji husika.

Kampuni za kukusanya zina njia nyingi ya kuhakikisha deni la mteja wake linalipwa, kama mkopo au deni vina dhamana wana mamlaka ya kukamata na kuuza kwa mnada ili kulipa deni na gharama za usumbufu pale tu utakapokuwa umepokea notice ya kulipa na kushindwa kufanya hivyo.

Wanaweza kukupeleka mahakamani kama hakuna dhamana iliyowekwa ili kuomba kibali cha mahakama kukamata mali zako.

Kampuni za kukusanya madeni ni rafiki wa wafanyabiashara na wadaiwa.

Karibu Nyakisasa Empire tukuhudumie katika kukusanya madeni na mikopo yako.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa;

info@nyakisasaempire.co.tz

+255 (0) 782 39 66 66
 
Back
Top Bottom