Madeni na kampuni za kukusanya madeni

Sep 21, 2022
62
62
Uliza swali lolote linalohusiana na Kampuni za kukusanya madeni( debt recovery agencies)

Nyakisasa Empire watajitahidi kuwajibu kwa kadri ya uwezo wao.

Karibuni
 
Uliza swali lolote kuhusu kampuni za kukusanya madeni!

Nyakisasa Empire kama Kampuni ya kukusanya madeni(debt recovery agency) watakuwa wanajibu mmoja baada ya mwingine.

Karibuni wote.
 
Nyie mnakusanya madeni ya aina gani? Mnalipwaje wakati mtu kashindwa kulipa madeni mnayokusanya?
 
Ushahi

Ushahidi gani?
Iko hivi ndg, kawaida makampuni wanapofanya miamala ya kibishara kunakuwa na nyaraka za miala hiyo, huo ndio ushahidi wenyewe km umekopeshwa halafu ukashindwa kulipa kinachofanyika kuondoa usumbufu ktk kampuni kazi hiyo inakabidhiwa taasisi nyingine kufuatilia deni hilo kwa makubaliano ya kuwalipa kiasi fulani, na taasisi hizo zipo kisheria na hata namna wanavyofanya kazi wanazingatia sana taratibu za kisheria
 
Hizo campuni zenu takataka za kukusanya madeni zinafilisi watu ..muko kimukakati nyie hamuna cha zaidi.
Serikali inatoa leseni kwa takataka?

Huoni kama ww ndio unaweza kuwa na mawazo yanayofanana na takataka?

Unajua maana ya dhamana ya mkopo?

Lugha zako mbaya haziwezi kukusaidia.

Jifunze na uelimike.
 
Kama kuna mtu namdai naitumia kampuni yenu mnaenda kudai???au sijaelewa
Kampuni yetu imesajiriwa kudai na kukusanya madeni toka kwa wadaiwa.

Kuna Sababu mbali mbali za kutumia kampuni baada ya kudai mwenyewe;

* Umechoka ahadi toka kwa mdaiwa

* Mdaiwa hataki kukulipa sababu ya mazoea

* Mdaiwa anajua madhaifu yako

* Mdai kuepuka ugomvi na kuumizana toka kwa mdaiwa

* Kuepuka kupoteza muda wa kufanya shughuli nyingine.
 
Kampuni yetu imesajiriwa kudai na kukusanya madeni toka kwa wadaiwa.

Kuna Sababu mbali mbali za kutumia kampuni baada ya kudai mwenyewe;

* Umechoka ahadi toka kwa mdaiwa

* Mdaiwa hataki kukulipa sababu ya mazoea

* Mdaiwa anajua madhaifu yako

* Mdai kuepuka ugomvi na kuumizana toka kwa mdaiwa

* Kuepuka kupoteza muda wa kufanya shughuli nyingine.
Ahsante sana hakika hii huduma ni msaada sana
 
Back
Top Bottom