Madeni na kampuni za kukusanya madeni

Madeni na kampuni za kukusanya madeni

How much% per assignment
Hizo hapo rate zetu
Screenshot_20220922-171126_Adobe%20Acrobat.jpg
 
◇ Ni watu wangapi wamefirisika sababu ya mikopo?

◇ Wangapi biashara zao zinachechemea sababu ya pesa iliyoko nje na imeshindwa kurejeshwa

◇ Wangapi wanadai ila hawana uhakika deni lao litalipwaje?

◇ Wangapi watoto wao wamerudishwa nyumbani kisa hawajalipa ada na wana watu pia wanawadai?

◇ Wangapi wamekopesha marafiki, washikaji na wanaogopa kuvunja mahusiano yao kisa Madeni?

Nyakisasa Empire wakisema wamekuja kurejesha madeni/ mikopo yako unatakiwa ushangilie.

Wanakurudisha kwenye biashara

Wanakurudishia matuamaini

Wanakurudishia tabasamu

Watoto watakuwa na uhakika wa kulipa ada.

Watakupa elimu bure namna ya kukusanya madeni yako, na ukishindwa kabisa watakufanyia kazi ya kukusanya madeni yako.

Karibuni wote.
 
Naona una sell hope to hopeless, wanakuja mkuu hakikisha hatoki mtu kwenye box
 
Ni wangapi walishatumia huduma ya kampuni za kukusanya madeni?

Kuna changamoto yoyote alikutana nayo?

Waliweza kukidhi matakwa ya mahitaji yake?

Ni maoni gani unaweza kutoa?
 
Leteni madeni yenu yakusanywe!

Au mmesamehe?

Au mnaweza wenyewe?

Utajiskiaje pale madeni yako yanapokuwa tanalipwa wewe ukiendelea na shughuli zako?
 
Usisahau au kupuuza pesa yako iliyoko nje.

Kuna Kampuni ya kukusaidia kukusanya pesa yako yote iliyoko nje.

Malipo ni baada ya kulipwa.

Nyakisasa Empire suluhisho la madeni sugu.
 
Check inbox yako mkuu kuna ujumbe wako. Au nitafute
 
Back
Top Bottom