Madeni na kampuni za kukusanya madeni

Leo niongee na kampuni za mikopo (microfince, micro credit, saccos) na wafanyabiashara.

Mikopo yenu iko salama? Hakuna bad debt?

Kwamba hamjasikia kuhusu Nyakisasa Empire?

Kwanini biashara yako iyumbe kisa madeni hayajarejeshwa?

Kwanini usiendelee na shughuli zako madeni ukawaachia Nyakisasa Empire.

Kazi ni moja omba form ya assesment tutakutumia ndani ya muda mfupi.

Muda ni sasa wa kupata madeni yako.
 
Mnafanyaje kazi

Malipo yenu je? Mteja anawalipa kutokana na deni analodai

Namaanisha gharama atakazowalipa mtu anayedai milioni 3 ni sawa na atakazowalipa anaye dai laki 5
 
Mnafanyaje kazi

Malipo yenu je? Mteja anawalipa kutokana na deni analodai

Namaanisha gharama atakazowalipa mtu anayedai milioni 3 ni sawa na atakazowalipa anaye dai laki 5
Habari! Malipo yetu yamegawanyika kutegemeana na kiwango cha deni!

Kuna mazungumzo baada ya kutujazia assesment form.

No collection no fee.

Karibu sana
Screenshot_20220922-171126_Adobe%20Acrobat.jpg
 
Nyakisasa Empire ni suluhisho la madeni sugu.

Usikubali madeni yako yayumbishe biashara yako.

Usikubali waliokopa kwako wakusababishie ugumu wa biashara

Kwanini ukwame kisa biashara yako imekopesha mikopo isiyorejeshwa.

Tupe kazi tukupe pesa yako.

Tofauti na kukusanya madeni,tunanunia madeni yenye ushahidi usio na mashaka.

Karibuni wote.
 
Tunaangalia mkataba wa deni,kama una dhamana anapewa notice,notice ikiisha na hajalipa dhamana zinakamatwa. Na kama hakuna dhamana tunampeleka mahakamani ili mahakama itupe mamlaka ya kukama mali zake
Mkimpeleka mahakamani, mdaiwa anapewa samansi, na anakuja mahakamani mnaendesha kesi Ili mpewe hiyo amri?? Nani atalipa hizo gharama za mahakama??
 
Back
Top Bottom