Mademu wetu na mitego!!

Mademu wetu na mitego!!

mbona yuko kawaida tuu!! Hakuna mtego wwote hapo,ila tu ni mfadhaiko wa mtu binafsi kulingana na mtazamo wake.
 
he he he ukiwa umegonga bapa zako mbili tatu lazima utegeke
 
Ingekuwa zamani kabla ya kizazi cha . com ingekuwa mitego, lkn sasa hivi ni kawaida tu kuona zaidi hizo picha ambazo si mitego.
 
Back
Top Bottom