Mademu wetu na mitego!!

Aah kumbe izi picha mmezipata? Uyu housegirl wetu, duh ajabu kumbe nae anawarusha roho watu.. Aya ndo matatizo ya manyegenyegeza
 
Sijui mwenyewe anajua kama umemuanika...
 
Hayo ni maua. Acha wapambe duni, nasi tunapaswa kuyamwagilia maji ili yachanue vizuri.
 
Picha kwa HISABI YA SAYARI FOOTBALL CLUB
 
Kipi cha ajabu? Mtego utakua huo?

Tunatofautiana mkuu, kwa mwingine huo tayari ni mtego mkali!hasa wale wazima kabisa.mwingine hadi aone watu wana do ndo kwao mtego!
 
Aiseh! kumbe watu mna ukame sana, yaani huu nao ni mtego?
 
Aah kumbe izi picha mmezipata? Uyu housegirl wetu, duh ajabu kumbe nae anawarusha roho watu.. Aya ndo matatizo ya manyegenyegeza

Kwani housegirl si kazi tu kama kazi nyingine? Hata baba mwenye nyumba huenda anarushwa roho sema we bado mtoto hujui hizi mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…