Mademu wengi wanateseka juu yangu...

huyu Boflo hana lolote apeche alolo a-be-che-de-a!!
kaemu unakokahangaisha ni kamoja tuuu afu unasema wako wengi ......ushuzi mtupu!!!

wacha nikanunue bolfo la ukwe'e nilikatekate nilitie jemu na tani bond ninywe chai ya maziwa ya cowbell.........
Paloma Kama huamini....nijaribu utaprove mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mpo wengi basi kampeni ya TULIZANA TUKO WANGAPI? inahitaji kufanya kazi kwa nguvu. Kaka usijipe sifa kama hizo ukadhani ni nzuri wanawake ni wajanja kutushinda sisi wanaume. Utakuja kutegewa tego nawe utanasa uishie kuhudhuria kliniki huku ukipanga foleni ya kupata ARV. kuwa makini UKIMWI UNAUWA
 

Sijipi sifa kaka....Soma vzr utanielewa mantiki yangu
 

Du jukwaa la MMU ni kiboko mtu anawawekea shairi lake mnaanza kumuita Punga, je? akiweka single tema ya taarabu si ndio mtammaliza
Hongera Boflo mpe Mzee Yusuf
 
Bwabwa bin Boflo na vijimambo vyake

 
Kazi kwelikweli . . . . . . . . !!
 
Sasa boflo, ukishawapa vyote hivyo, then ukawatesa kwa style yako hiyo wewe unapata nini out of that?

hata mimi nilitamani kujua,

ila nimesikia stori kuwa siku hizi kuna wanaume wako hivyo, anaona raha kusifiwa mtaani kwa kuwapa starehe wasichana warembo, anawabeba kwa wingi, anawatoa aout ofa kubwa kubwa, hadi magari halafu hataki uhusiano wa mapenzi zaidi ya kushikana bar.
Basi ndo raha na sifa yake,
nilishangaa sana
halafu kuna warembo wanaona sifa kula hela za watu, kutembezwa nchi ya nje, mashoping bila kuwa uhusiano wa mapenzi, nadhanmi ni lifestyle tu.
 

na wewe akijitokeza wa hivyo
utakataa?
 
Usiwe mjivuni kaka, Kama huna mpango na binti kwa nini umpotezee muda,kwa nini umtoe out na kumpa kila kitu halafu uingie mitini? Kwa nini uwakimbie?Kwa nini ujisifu kuwa mabinti wanateseka juu yako?Au ilitaka tu wadau wakuone bab kubwa hapa jamvini? Anyway ni mtazamo tu,mi hapa si mkaaji.
 
unadhani wanakutafuta kwa sababu wanakupenda? Wanataka hela yako tu!
 
Baada ya kuona mafanikio ni madogo Boflo umeamua kuja hii ili watu wafunge safari wenyewe! Ha ha haaaaa! Mlinzi ajiandae kujibu hodi. Lol!
 
Last edited by a moderator:
si huna nguvu za kiume wewe punga? nimeshangaa kwenye post ile nyingine kuhusu yule mtetea shoga wa uganda na wewe umetetea sana ushoga,...wewe nawe ni shoga huna jipya....mnatakiwa kuchomwa moto hapa tz...hamfai kuishi.

Don't take Boflo too seriously! He is just an entertainer in his own way.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…