Mademu Wanaopenda Pesa

hakuna madem nowdays ilimrad ss tutafanyaje toa pesa ili upate sehemu ya kupunguza nyege zako
 
ha,ha,ha,ha,haaaa..... Sorry kwanza kwa kucheka unajua ni kwann mimi con kama ni tatzo kumbe unapenda MADEMU kwa fasta fasta nimeelewa kuwa mademu ni wa2 wanao jiuza au kujisikia hvyo ni kawaida yao kupenda pesa na isitoshe wewe unataka kuchakachua 2 na uondoke zako hvyo zoea kwny hlo
 
Huko Bongo wamezoea kuomba omba (matonya style) sijui ni utamaduni wao! huku niliko ukitoa ofa na yeye anatoa basi ni Beijin kama kazi.
Du distazo, sijawhi sikia hata kwenye vitabu vya enzi na huko kwenu mwanamke anatoa ofa
hayo tuyaache, Mada ya MagMat usipotoa na hujamuoa inategemea na kaliba yako (level)km hamuendani achilia mbali.
Huku kwetu hasa vyuo vya kanda ya kati mijitu inatoa gari kwa vibinti (RAv 4, NADIA, OPA, RAUM nk) baada ya kutoa Lecture kwenye mavyuo, wengine hawahawa wabunge wetu wanaporudi Bongo kwa wake zao wapo kimya (Hakuna wabunge waliowaingiza nyumba ndogo viti important)
MagMat km hutoi sisi tunatoa vocha tu! atapewa na akupigie, huku vibinti tunavihudumia vinapohitaji msaada
 
kwani wewe hao mademu unaowazungumzia unataka nini kwao? si huduma? kwanini unataka bure, huduma ya chakula ununue, ya mavazi ununue, kwanini ya ngono au kampani usinunue?
bei inategemea quality, kama unaenda kununua huduma mitaa inayolipa kodi kubwa, utapandishiwa bei vile vile, kama bei ya soda, japo kiwandani bei ni moja, kuna sehemu ukienda unakunywa umesimama, sehemu nyingine unapewa glasi inayongaa, kiti, tishu, straw, bili kwenye folder nk. kimsingi soda ni ile ile.
KAma huridhiki na vikolezeo vinavyoambatana na huduma unayotaka, basi hamia manzese, unaweza hata kushinda soda ya bure.

ila tu ujue kumaintain usmart kila siku si bei rahisi sana, lazima musaidiane watu kama wewe kadhaa.
nywele tu kwa mwezi ni zaidi ya laki mbili, ngozi, perfume, nguo, accessories, viatu, usafiri, nk. jamani hebu kuwa na utu.
mbona petroli imepanda bei hamlalamiki?
 
Mi jamani hii inanikera sana hadi sasa hivi nimejikuta sipendi kuchakachua tena! Kwani demu anakupigia simu na kubeep mara kibao nimekumiss, nimekumiss afu ukikutana nae anaanza kukuomba hela na hata kuonyesha kutoridhika
ninachotaka kujua kweli huwa wamekumiss au amemiss hela yako?

Wavulie Gamba
 
Kupigwa au kutopigwa mizinga ni reflection ya approach yako kwake. Kama uliingia kwa gear ya kumsaidia yeye na ukoo wake basi ndo replies ya hzo promise.

Kwa kifupi the way u approached her ndivyo atataka awe treated hvyo.

WARNING: Acha kutongoza ki-uwanasiasa kwa kutoa ahadi za kumnunulia benz ihali hata hela ya kumpa akasuke twende kilioni mara 2 ni issue kumpa! Asante.
 
Mtu wangu hizo ni moja ya sababu ya kumgundua mke mwema na wala sio demu mwema, maybe niulize kwanza lengo lako ni lipi, kuwa na demu au mchumba na baadae mke? Make kama ni mke aombe pesa kwa mpangilio na si kwa style ya kuchuna.
 
Akikuomba pesa mpe mwambie asante kwa huduma nzuri next time uniambie kabisa kabla ya game utahitaji malipo kiasi gani... I am sure hutaombwa tena
 
Huyo demu unamalengo naye about what? it depends with your aim of being with her, if u are with her for FUN be alert she is with you for MONEY! so i do not see a big deal of her asking u for money......there is no LUNCH for free jamani
 
Mi jamani hii inanikera sana hadi sasa hivi nimejikuta sipendi kuchakachua tena! Kwani demu anakupigia simu na kubeep mara kibao nimekumiss, nimekumiss afu ukikutana nae anaanza kukuomba hela na hata kuonyesha kutoridhika
ninachotaka kujua kweli huwa wamekumiss au amemiss hela yako?
you are so so weakkkkkkkk!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom