Mademu Wanaopenda Pesa

MagMat

Member
Nov 1, 2010
51
28
Mi jamani hii inanikera sana hadi sasa hivi nimejikuta sipendi kuchakachua tena! Kwani demu anakupigia simu na kubeep mara kibao nimekumiss, nimekumiss afu ukikutana nae anaanza kukuomba hela na hata kuonyesha kutoridhika
ninachotaka kujua kweli huwa wamekumiss au amemiss hela yako?
 
Uamuzi mzuri, subiri hadi utakapopata wa kumuoa, omba Mungu sana akupe mke mwema, kwani unaweza oa kupe vile vile.
 
hahahahahaha! Na wewe uwe unamwomba siku 1, 1 ili ajue kero unayoipata.
 
:rant:kwani we kuombwa hela kunashida gani?? acha ubahili wewe .......
hhahaa vidume bana wanaumia kutoa pesa jifunze kuwa responsible father usije laza watu home na njaa bure
 
mbona haya malalamiko yamezidi kwa vijana?kumetokea nini?lkn nahisi wasichana wengi wanapenda mambo makubwa wakati halizao haziruhusu,na hii ni tamaa tu
 
Huko Bongo wamezoea kuomba omba (matonya style) sijui ni utamaduni wao! huku niliko ukitoa ofa na yeye anatoa basi ni Beijin kama kazi.
 
Jamani ilipoandikwa MWANAUME atakula kwa jasho lake...si ndo pia na vitu kama hivyo pia?
 
Mi jamani hii inanikera sana hadi sasa hivi nimejikuta sipendi kuchakachua tena! Kwani demu anakupigia simu na kubeep mara kibao nimekumiss, nimekumiss afu ukikutana nae anaanza kukuomba hela na hata kuonyesha kutoridhika
ninachotaka kujua kweli huwa wamekumiss au amemiss hela yako?
Kwa kifupi hao mademu wanauza na wewe unanunua.
 
Wanawake wa siku hizi kwa mizinga wamezidi!! Hata kama ana kazi na analipwa mshahara mkubwa kiuliko hata wewe lakin atataka akupige mzinga!!!
 
bmJtjq6TCfqbJD2tuk4Qw6RwD45ZuCPANwhyzgflYspncZtAOjIQ+dgbpORMupxQIUDKkKnJnRqUq9ZgtCp6Y9wQIVplUtYxBNWyaRNKrLLpv4vPguZ0bijWwQAAAAASUVORK5CYII=
 
Hii nimeipenda SL ila ukianza tu utaona unaanza kupigwa kalenda kila mkipanga miadi ya kuonana!!!
Ukiona hvyo na wewe unampotezea. Utakuwa ushamsoma kuwa yupo kimaslah zaid. Kiukwel cku hz mapenzi ni kusaidiana na co kuchunana, km unampenda mwenzio kwa dhati huna haja ya kumchuna! Ukiona unaombwa hela sana chapa lapa hakuna mapenzi hapo!
 
Wa ukweli? hatahitaji pesa? Unajua ni hivi hakuna mnachoshangaa,hao wasichana ni kielelezo kimojawapo cha ukosefu wa ajira,unajua baadhi ya hao mabinti ni wasomi kabisa! Ila kungekuwa na utaratibu wa kueleweka wa kuongeza ajira nadhani hiyo adha usingeipata.Ingawa kwa Waafrica bado wamekariri kuwa mwanaume ndo wajibu wake,unaweza kukutana na mtoto wa kike anafanya kazi bt anaomba huyoo.........
Pili kwa maisha yalivyo hapa dar maisha ni magumu bila pesa,kwa kimtazamo KISOSHOLOJIA kuna matatizo mengi sana ya kijamii-social problems.MI NASHAURI USIMSHANGAE HUYO BINTI,KUNA SABABU NYINGI NYUMA YA PAZIA EBU FUNUA PAZIA KWENYE FIKRA ZAKO UMSAIDIE.Huwa namshangaa kamanda moja wa polisi alikuwa anawakamata mabinti wanaouza miili yao.Viongozi wetu wangekuwa serious wangedili na core issues zinazowakabili wananchi si kudili na matokeo hasi yakutowajibika kwao.Binafsi siungi biashara ile lakini nachukulia kila tatizo kwa upana wake hasa kwa kufikirisha kichwa kuhusu cause-effect ya kitu chochote,ingawa kuna wengine wanafanya si kwa sababu matatizo lakini si wengi kiasi hiki!
 
Kama ana sababu ya kuomba hela na wewe unazo mpe kama ukipenda.....ni uamuzi wako hulazimishwi....ukiona huyawezi muambie kama hamuelewani na huwezi vumilia muachane.
 
:rant:kwani we kuombwa hela kunashida gani?? acha ubahili wewe .......
hhahaa vidume bana wanaumia kutoa pesa jifunze kuwa responsible father usije laza watu home na njaa bure
responsible father na kumwaga hela kwa kila anaye ku miss ni mambo mawili tofauti , la kwanza ni uwajibikaji wakati la pili ni ubadhirifu etc
 
Back
Top Bottom