REFA WA JF
Senior Member
- Jul 26, 2026
- 150
- 340
Kun mmoja nimejaribu kumtongoza jana akaniambia hawez kuwa na mchumba mpagani. na tena yy ameokoka anasubir had afungue ndoa na mchumba aliyeokoka.maneno yale yalibid nijikate kimya tuh.