Kwani hata Setfree hujamuona anavyo ringa humu jukwaani? Walokole wana kawaida ya kulana wenyewe kwa wenyewe, huku wakiamini eti hawatendi dhambi.Kun mmoja nimejaribu kumtongoza jana akaniambia hawez kuwa na mchumba mpagani. na tena yy ameokoka anasubir had afungue ndoa na mchumba aliyeokoka.maneno yale yalibid nijikate kimya tuh.
Ha ha ha hawana shida ukitaka kuoa slimJaribu madem wa kiislam Mkuu. Wacha kuhangaika
Kupiga kinanda si sawa na kupiga ramli.......Nenda kanisani kwao ukawe mpiga kinanda kwanza.....
Kwahyo nyinyi makafiri mabinti zenu hawafirwi ?Mbona povu sana ? Jamii nyingi za kiisalm mabinti zao hawana maadili , pia kichwani amna shule akimaliza la 7 anawaza kuolewa, na wazazi wanawaza mahari ! Reference pwani, tanga, moro, Lindi, mtwara n.k !! Znz ndio wanafirwa sana
Halafu we jamaa weweKwahyo nyinyi makafiri mabinti zenu hawafirwi ?
Sasa hapo ameringa vipi wakati amekwambia ukweli kwa jinsi Biblia inavyomwelekeza kuwa asichangamane na wasioamini? Kama vipi okoka, then mounted tena😃Kun mmoja nimejaribu kumtongoza jana akaniambia hawez kuwa na mchumba mpagani. na tena yy ameokoka anasubir had afungue ndoa na mchumba aliyeokoka.maneno yale yalibid nijikate kimya tuh.
Kwahyo nyinyi makafiri mabinti zenu hawafirwi ?
Nyinyi makafiri elimu yenu imeisaidia nini hii nchi toka tupate uhuru?Pole sana, mm kwanza sio mkristo wala muislam... siziamini dini zilizoletwa na majahazi ... ni utumwa !
Nyie mnachojua ni binti akikua aolewe akafirwe huko, mpokee mahari mcheze ngoma ! Jamii zenu nyingi kichwani hakuna elimu ... sana sana ni madrasa tu
Wasukuma kuanzia miaka 18 wa mtaa upi wote wana watoto? Mkishindwa vita vya kidini mnahamia kwenye makabila! Tutaitwa mno shithole countries 🚮Unataka kusema mademu wa kikristo wanamaadili sana hawatombwi ovyoovyo?
Ndo padre wako alivokuambua?
Kule mbeya, sumbawanga , Arusha , Kilimanjaro , bukoba , Kwa wasukuma Kila binti mwenye 18 years anamtoto, unataka kusema hizo mimba wamepewa na roho mkatatifu?
Nchi hii wanaoongoza kuzalia nyumban ni wakina nani?
Makafiri mna mambo ya ajabu
Ulokole ni kumcha Mungu, unafikiri mademu wa kiislam siyo walokole?Jaribu madem wa kiislam Mkuu. Wacha kuhangaika
Kwahyo ukifika kwa wakristo ndo inakua sio wote, je waislamu wa wapi ambao wote wanazini ovyoovyo?Wasukuma kuanzia miaka 18 wa mtaa upi wote wana watoto? Mkishindwa vita vya kidini mnahamia kwenye makabila! Tutaitwa mno shithole countries 🚮
Wewe mzee umesoma nilichoandika au umejipanga kujibizana mambo ya uislamu na ukristo tu?Kwahyo ukifika kwa wakristo ndo inakua sio wote, je waislamu wa wapi ambao wote wanazini ovyoovyo?
We unajua tulipoanzia na huyo jamaa au ulidandia gar kwa mbele?Wewe mzee umesoma nilichoandika au umejipanga kujibizana mambo ya uislamu na ukristo tu?
Sasa hapo Maringo yako wapi? Komaa mwanaume acha kulialia.Kun mmoja nimejaribu kumtongoza jana akaniambia hawez kuwa na mchumba mpagani. na tena yy ameokoka anasubir had afungue ndoa na mchumba aliyeokoka.maneno yale yalibid nijikate kimya tuh.
Habari za we na huyo jamaa yako hazinihusu! nmekuuliza kuhusu hao mabinti wote 18+ wasukuma wenye watoto uliowaongelea hapo ulifanyia hiyo tafiti mtaa upi? Ukiwa unashiriki mijadala halafu hutaki kuguswa na sukari inakupanda haraka unashangaza!We unajua tulipoanzia na huyo jamaa au ulidandia gar kwa mbele?