katerero ndo nini jama?
Ni wazuri mno
Umbo namba nane
Wana rangi ya ngozi nzuri sana hasa ukielekea kunako
Wanajua sana shughuli ya majamboz
Wana joto la kutosha
Wachapa kazi sana
Wanajua kukuweka sawa kihisia
Usipoonekana lazima akutafute mpaka akupate
Hawajawahi kuchakachuliwa na mapenzi ya kichawi
Wana maneno yenye mvuto muda wote
Akikasirika hakunyimi ila atakulipizia kwenye shughuli maana atakukimbiza mchakamchaka
Mwenzenu nime oza nimekufa kwa mademu wa kihaya
macho yangu jamani hpa kuna niniNi wazuri mno
Umbo namba nane
Wana rangi ya ngozi nzuri sana hasa ukielekea kunako
Wanajua sana shughuli ya majamboz
Wana joto la kutosha
Wachapa kazi sana
Wanajua kukuweka sawa kihisia
Usipoonekana lazima akutafute mpaka akupate
Hawajawahi kuchakachuliwa na mapenzi ya kichawi
Wana maneno yenye mvuto muda wote
Akikasirika hakunyimi ila atakulipizia kwenye shughuli maana atakukimbiza mchakamchaka
Mwenzenu nime oza nimekufa kwa mademu wa kihaya
Hawatumii uchawi katika mapenzi
Ni makeke yao tu
Na haondoki mpaka afike safari yake
Atatumia kila nija mpaka umfikishe
Looh kweli nawapenda saaaaana
Nimekugongea senkisi!mkuu kwahiyo bwana shemeji??ila usije ukakaribisha shemejizo ndani ukidhani shemeji unawezakukuta mnakula chungu kimoja!:smile-big:Hawatumii uchawi katika mapenzi
Ni makeke yao tu
Na haondoki mpaka afike safari yake
Atatumia kila nija mpaka umfikishe
Looh kweli nawapenda saaaaana
eeeeeh kaka
Hapa unazidi kuniwehusha kuhusu hawa vimwana
haaaaaaaaaaa hahaaaaaaaaaa hahaaaaaaaaaaaaaaaunamchuka abdallah kichwa wazi unamgongesha gongesha kwa bibi mandevu