Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Ila mchina anaokoa gharama za maisha jamani!
Kweli aisee!
Ila mchina anaokoa gharama za maisha jamani!
mmmh, fafanua kidogo mana kuna tigo mtandao na tigo yale mambo ya waarabu.Usipo mgonga tigooo mwanamke ni lazima akudharau tu!
Ah! Si tunazungumzia urembo?Hahahaaaa vya mchina lazma utumie kwa hiari au lazima
....Magari Yutong Hujapanda?
....Za ndani nyingi ni made in Chainizi..hujavaa?
Lol etc