jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,715
Ngoja basi niwakumbushe kitu...
kipindi kile cha miaka ya late 90's na early 2000's basi ilikuwa ukimtongoza mdada unakuta anaanza kujilambalamba vidole huku akiwa anacheesha kidole gumba cha mguu huku akiangalia chini kwa AIBU kuonesha kuwa "SOUND" imemwingia ila anaogopa tu kusema "NIMEKUBALI" live...
Those where the days...no faking...no deodorant... no carolight.... no faking swags... yaani akikubali kakubali kweli.....
Sasa hivi mkiwa mmekaa sehem unamwaga sumu basi unaangaliwa na macho makali kama ya yue chui wa kwenye TANGAZO LA SERENGETI,akiondoa macho ujue anasoma notification ya whatsapp au insta... halafu anakuuliza 'Eti umesemaje tena'? DAMN
****Hivi madem wanaojilamba lamba vidole na kuangalia chini kwa aibu bado wapo? Kama hawapo unahisi nini kimewabadilisha?****WE UNAONAJE?