madem cheapness imezidi; kuweni na utu kidogo bana

madem cheapness imezidi; kuweni na utu kidogo bana

Waache waendelee hvyo hvyo, unataka wawe expensive ili tusipate mteremko!!
 
Tatizo ujuzi wa kutongoza siku hizi hakuna. Mtu anahtongoza mezani kaweka switch ya gari ht km ni la kuazima, samsung galaxy, iphone 4 ipad halafu kila dk anapoga simu ule mzigo jamaa nimemuuzia milioni thelathini. Demu nae anaona kumbe huyu nikiomba m3 ntapata, unadungwa sindano kavu kavu darling nna shida na laki tatu, unatoa demu anakuona atm mpya hiyooo. Ukija jf unalalamika! Tongozeni mkiwa ngangari si kudanganyia vitu msivyokuwa navyo
 

mwanaume wallet
mwanaume kuchunwa babu
tofauti na hapo watoto wazuri utaishia
kuwaita shemeji!!napita tu!!
 
Acheniw wawe rahisi. Kama nyinyi Hamna kazi nao sisi tunazo. Wawe wagumu Ili iweje Sasa. Ukitaka k leo unapata 2015. Ilishapitwa na wakati hiyo.
 
mimi nimejitoa kwenye hizo stress tokea last month....nowadays ukiwa na demu inabidi ufungue na ka akaunti ka matumizi yake tu..mimi nimepumzika kwa sasa..

ni noma aisee hapo inabidi kujipanga maana.
 
Tatizo ujuzi wa kutongoza siku hizi hakuna. Mtu anahtongoza mezani kaweka switch ya gari ht km ni la kuazima, samsung galaxy, iphone 4 ipad halafu kila dk anapoga simu ule mzigo jamaa nimemuuzia milioni thelathini. Demu nae anaona kumbe huyu nikiomba m3 ntapata, unadungwa sindano kavu kavu darling nna shida na laki tatu, unatoa demu anakuona atm mpya hiyooo. Ukija jf unalalamika! Tongozeni mkiwa ngangari si kudanganyia vitu msivyokuwa navyo

kuna ukweli pia kwenye hilo maana namba ya watu wanaotongoza kwa stahili hiyo inazidi kuongezeka, sasa dada zetu wanajisahau wanajua kila mtu yupo hivyo, ukipiga saundi tu unakula mzinga wa hatari anajua nawewe ni kama wale
 
na nyie wanaume msiwe mnajidai ndio mapedeshee mtachunwa hadi damu...nendeni haste haste....(password hiyo)....muwe smati kdg kha! laa sivyo hizi kesi humu hazitakwisha wallahi!
Shida yao kujionyesha utakuta mtu na mke kabisa anajifanya kumpa mwanamke asiyemjua hela ya chai 30,000 huu kama sio juha ni nini.
 
na nyie wanaume msiwe mnajidai ndio mapedeshee mtachunwa hadi damu...nendeni haste haste....(password hiyo)....muwe smati kdg kha! laa sivyo hizi kesi humu hazitakwisha wallahi!
Shida yao kujionyesha utakuta mtu na mke kabisa anajifanya kumpa mwanamke asiyemjua hela ya chai 30,000 huu kama sio ujuha ni nini.
 
haya mahitaji yenu ya kutaka kujiona mko juu kw akuvaa vitu vikali wakati hali yako ya kiuchumi hairuhusu, mshahara wenyewe mdogo kulinganisha na mahitaji yako(nywele feki, kucha, nguo, mikoba, girls outings etc)...

hii inawapelekea kujishusha au kujirahisisha sana kwa kitu kidogo mtu unapanua miguu kwa mtu hata usiyemjua kisa kakupa lift au kakununulia lunch au kakupa 30,000/-.. kwanini msiishi maisha ya ndani ya uwezo wako uheshimike mtaani na ofisini, siku zote pride ya wanaume itabaki kuwa juu kwasababu ya kutokujishusha kirahisi sana..

na hapo hapo mnatakia kuolewa mnasahau uchafu wa kubadilisha wanaume wa kulala nao ili kutimiza matakwa yako yasiyo ya msingi...

katika maisha kuna mengi ya kuaccomplish zaidi ya hizo wigi, mikoba na show off za kipumbavu. badilikeni jaman
tunawapenda sana dada zetu ila katika hili noma sana

wadau maona tafdhali, no offence
Thats female that is work like, if you cant pay for the service get out of my sight.
prostituion.jpg
 
Si wengine wanyonge tu,,,,,,hatuna pesa za kuhonga,tunawaangalia wahongaj na wahongwaji
 
Am speechless,hivi uki heat na ku run atapata huo muda wa kukuchuna?
 
Tatizo ujuzi wa kutongoza siku hizi hakuna. Mtu anahtongoza mezani kaweka switch ya gari ht km ni la kuazima, samsung galaxy, iphone 4 ipad halafu kila dk anapoga simu ule mzigo jamaa nimemuuzia milioni thelathini. Demu nae anaona kumbe huyu nikiomba m3 ntapata, unadungwa sindano kavu kavu darling nna shida na laki tatu, unatoa demu anakuona atm mpya hiyooo. Ukija jf unalalamika! Tongozeni mkiwa ngangari si kudanganyia vitu msivyokuwa navyo

well said Chimunguru....
 
Last edited by a moderator:
Umenena kweli kabisa hata haujakosea,inashangaza eti watu wanafahamiana kupitia mitandao,wakikutana tu wanatiana kabisa,hahahahahaaaa kwa kweli the world has gone aiseee
 
Back
Top Bottom