madem cheapness imezidi; kuweni na utu kidogo bana

baptist

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
434
Reaction score
279
haya mahitaji yenu ya kutaka kujiona mko juu kw akuvaa vitu vikali wakati hali yako ya kiuchumi hairuhusu, mshahara wenyewe mdogo kulinganisha na mahitaji yako(nywele feki, kucha, nguo, mikoba, girls outings etc)...

hii inawapelekea kujishusha au kujirahisisha sana kwa kitu kidogo mtu unapanua miguu kwa mtu hata usiyemjua kisa kakupa lift au kakununulia lunch au kakupa 30,000/-.. kwanini msiishi maisha ya ndani ya uwezo wako uheshimike mtaani na ofisini, siku zote pride ya wanaume itabaki kuwa juu kwasababu ya kutokujishusha kirahisi sana..

na hapo hapo mnatakia kuolewa mnasahau uchafu wa kubadilisha wanaume wa kulala nao ili kutimiza matakwa yako yasiyo ya msingi...

katika maisha kuna mengi ya kuaccomplish zaidi ya hizo wigi, mikoba na show off za kipumbavu. badilikeni jaman
tunawapenda sana dada zetu ila katika hili noma sana

wadau maona tafdhali, no offence
 
ukweli mchungu
 
na nyie wanaume msiwe mnajidai ndio mapedeshee mtachunwa hadi damu...nendeni haste haste....(password hiyo)....muwe smati kdg kha! laa sivyo hizi kesi humu hazitakwisha wallahi!
 
Hivi mnajua maana ya demu? Kwanini mnatuita mademu? Demu ni tambala la deki na wakati mwingine demu inatumika kumtambua ng'ombe dume alie kwenye heat!

Sasa kama mnajirahisi kwa nini msiitwe demu?
 
na nyie wanaume msiwe mnajidai ndio mapedeshee mtachunwa hadi damu...nendeni haste haste....(password hiyo)....muwe smati kdg kha! laa sivyo hizi kesi humu hazitakwisha wallahi!

wataka wenyyewe
 
haya mahitaji yenu ya kutaka kujiona mko juu kw akuvaa vitu vikali wakati hali yako ya kiuchumi hairuhusu, mshahara wenyewe mdogo kulinganisha na mahitaji yako(nywele feki, kucha, nguo, mikoba, girls outings etc)...

hii inawapelekea kujishusha au kujirahisisha sana kwa kitu kidogo mtu unapanua miguu kwa mtu hata usiyemjua kisa kakupa lift au kakununulia lunch au kakupa 30,000/-.. kwanini msiishi maisha ya ndani ya uwezo wako uheshimike mtaani na ofisini, siku zote pride ya wanaume itabaki kuwa juu kwasababu ya kutokujishusha kirahisi sana..

na hapo hapo mnatakia kuolewa mnasahau uchafu wa kubadilisha wanaume wa kulala nao ili kutimiza matakwa yako yasiyo ya msingi...

katika maisha kuna mengi ya kuaccomplish zaidi ya hizo wigi, mikoba na show off za kipumbavu. badilikeni jaman
tunawapenda sana dada zetu ila katika hili noma sana

wadau maona tafdhali, no offence

Seriously no offence wewe umelamba wangapi mwaka huu?
 
uongeayo ni kweli lakini sijawahi sikia mwanaume amebakwa alafu akatoa pesa ya wigi ila huwa manakuja kwa hiyari yenu wenyewe kuja kututongoza mnategemea kukataliwa loh tena wawachune mpaka ngozi mtie adamu...... wanaume mkituliza hizo hulka za kutongoza kila kilichopo mbele yako sidhani kama haya yatakuwepo...........................tena sikuhizi ukiwa na gari tu demu kageuza macho pembeni umeshamkonyeza ndo nini kesa unatembea umekaaaaa..... ha yani naomba mchunwe mpaka basi

unajihisi pesa zimezidi ndo maana unaileta tena kwa kuomba mkomeeeee... yani tena wawachune mpaka mtoe damu ...
 
mimi nimejitoa kwenye hizo stress tokea last month....nowadays ukiwa na demu inabidi ufungue na ka akaunti ka matumizi yake tu..mimi nimepumzika kwa sasa..

Last month? You are kidding...... ? Before you know it you will be all over them again....
 
haya mahitaji yenu ya kutaka kujiona mko juu kw akuvaa vitu vikali wakati hali yako ya kiuchumi hairuhusu, mshahara wenyewe mdogo kulinganisha na mahitaji yako(nywele feki, kucha, nguo, mikoba, girls outings etc)...

hii inawapelekea kujishusha au kujirahisisha sana kwa kitu kidogo mtu unapanua miguu kwa mtu hata usiyemjua kisa kakupa lift au kakununulia lunch au kakupa 30,000/-.. kwanini msiishi maisha ya ndani ya uwezo wako uheshimike mtaani na ofisini, siku zote pride ya wanaume itabaki kuwa juu kwasababu ya kutokujishusha kirahisi sana..

na hapo hapo mnatakia kuolewa mnasahau uchafu wa kubadilisha wanaume wa kulala nao ili kutimiza matakwa yako yasiyo ya msingi...

katika maisha kuna mengi ya kuaccomplish zaidi ya hizo wigi, mikoba na show off za kipumbavu. badilikeni jaman
tunawapenda sana dada zetu ila katika hili noma sana

wadau maona tafdhali, no offence

mwazitaka wenyewe kutongoza tongoza utafikiria beberu
 
utakuwa ushavurugwa wewe...............

wengine ndiyo tunavyotaka ,,,,,,,,,,,,

endeleni kutupa raha na machungu hapo hapo...............
 
Back
Top Bottom