je unajua ni kwanin ndoa za siku hizi hazidumu, au unashuhudia chereko tu na kuishia hapo, waulize wanandoa wakwambie,
Haujui namna ya kuquote ufundishwe!!!!!!!
nifundishe
Tafsiri yako kila mwanamke ni demu??
​aaah wapi wapo wengine wanatisha wewe!!siku hizi kila msichana mtoto mzuri bana, zaman ndo ilikuwa tabu kidogo, siku hizi aiumizi kichwa...
nikupe sh ngapi my dia ili new year tuwe pamoja