madem cheapness imezidi; kuweni na utu kidogo bana

madem cheapness imezidi; kuweni na utu kidogo bana

Umepumzika tu kwa mda ka mchezo hako huwezi kuaacha mwezi 1 au 2 ukasema umeacha

"mimi nimejitoa kwenye hizo stress
tokea last month....nowadays ukiwa
na demu inabidi ufungue na ka
akaunti ka matumizi yake tu..mimi
nimepumzika kwa sasa.."
wapi hapo nimesema nimeacha...?
 
Hivi mnajua maana ya demu? Kwanini mnatuita mademu? Demu ni tambala la deki na wakati mwingine demu inatumika kumtambua ng'ombe dume alie kwenye heat!

and it also means a woman
 
Si afadhari BoQ, price na quality una-determine mwenyewe... Kitu TAX INVOICE... ishawekwa hadi VAT

bills.jpg

acha kulalamika we mwanaume...
 
"mimi nimejitoa kwenye hizo stress
tokea last month....nowadays ukiwa
na demu inabidi ufungue na ka
akaunti ka matumizi yake tu..mimi
nimepumzika kwa sasa.."
wapi hapo nimesema nimeacha...?

hahahaa umenichekesha Lazy mate.....
sa lazymate utajitoa hadi lini lakin
 
Girls wengi wanaumia kwenye mapenzi...acheni japo wapate KIPOOZA STRESS..
 
Sasa kama mnajirahisi kwa nini msiitwe demu?

Wala sio kwamba tunajirahisisha, nyie mnajifanya mna heeeela saaana na gear yenu kubwa ya kutongozea ni hayo mapesa, unakutana na mtu anashida zake kwanini akate hizo hela sasa?
 
Wala sio kwamba tunajirahisisha, nyie mnajifanya mna heeeela saaana na gear yenu kubwa ya kutongozea ni hayo mapesa, unakutana na mtu anashida zake kwanini akate hizo hela sasa?
Kweli huwa wanakuja na masifa kibao na hakuna asiyependa hela
 
mnachunwa nyie, mi simo... Nikiambiwa naomba simu nasema kwa heri... sina presha na mabinti kabisa.. Wamejaa tele, yani hata kila mwanaume akikabidhiwa wawili watabaki tele.. Wife material haigi mabinti wenzake wanafanya nini. Watu wanasema hela hainunua upendo ila ni wizi mtupu. Hela inanunua mapenzi sana tu siku hizi
 
Nakumbuka enzi zangu,nilikuwa na deal na house girls na kinamamantilie.wanajali sana na hawana gharama sana sana wao ndio wanakutunza.wako real sio fake kama hao!
 
Jamaa yangu hawa dada zetu na wadogo zetu wa kike sasa hivi wanaishi kwa kuiga wanavyoishi wengine, ila hawajui pesa hizo wenzio wanako zipata huenda wanazipata kwa muda ila arobaini ikifika ndo mwisho, dada zetu na wadogo zetu wanataka nao wawe up to date na wajitahidi kuujenga mwili kidogo kwa starehe zinazo wafanya waachie miguu wazi, akipewa lift anafungua miguu ili siku nyingine apewe na aonekane anaye mwenye ka uwezo, na kubali yasiyo ili naye apate ka hela ka kununua pamba aonekane mtaani kuna anayemjali, wanajihusisha na biashara haramu pande zote za dunia ili aonekane naye ana ka benz keusi au anako ka usafiri kazuri, anakubali kupigwa kavu na mtu hajawahi kukutana naye na hana uhakika na afya yake kisa alimuahidi atampa ka usafiri ili wenzie wamkome, wamjue... mwishowe kale kale kagonjwa kasikokuwa na dawa kana mtafuna, mwishowe anakamatwa Macau au South Africa anapata adhabu ambazo hata nchi nzima inashindwa imsaidieje maana hamna jinsi. NI KWELI DADA ZETU TULIENI NA MRIDHIKE NA KILE KILICHOPO KWENU AU KWAKO. God's time is the BEST. Pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
 
Back
Top Bottom