madem cheapness imezidi; kuweni na utu kidogo bana

madem cheapness imezidi; kuweni na utu kidogo bana

Umeongea kweli mleta mada asilimia kubwa ya wanawake wa mjini sasa hawaoleki kwa sababu za kipumbavu kama hizi. Nani aoe lijike ambalo lilikuwa linagawa kama pipi? Mi huwa nasema wanawake wazuri wameolewa, yamebaki manungayembe yanahangaika. Tatizo kizazi cha sasa kimeweka pesa mbele.
 
kupata mke shida
 
Umenena kweli kabisa hata haujakosea,inashangaza eti watu wanafahamiana kupitia mitandao,wakikutana tu wanatiana kabisa,hahahahahaaaa kwa kweli the world has gone aiseee

Shangaa na ww mkuu!afu kibaya zaidi wanachapana kavukavu,magonjwa yataisha kweli aibu hizi,ebu tupunguze kuwa cheap cheap wakaka na wadada tujithamini miili yetu!
 
ahhh.,!!
umeandika kwa hasira kweli...
Umewapa makavu.
 
na nyie wanaume msiwe mnajidai ndio mapedeshee mtachunwa hadi damu...nendeni haste haste....(password hiyo)....muwe smati kdg kha! laa sivyo hizi kesi humu hazitakwisha wallahi!

teh teh teh inamaana tukuwe wachafu tuu au?
 
Hivi mnajua maana ya demu? Kwanini mnatuita mademu? Demu ni tambala la deki na wakati mwingine demu inatumika kumtambua ng'ombe dume alie kwenye heat!

Msaada tafadhali. Ng'ombe dume anapokuwa kwenye heat anakuwaje!?
 
waache bwana waendelee kutupa raha wao c wanatamaa ya pesa, tuone kati ya pesa na mbvnye ipi inazeeka,
 
sasa hivi hawaolewi kwasababu hizo wanaume tunaogopa gharama zisizo na msingi, mishahara yenyewe ndo hii, biashara ngumu, wenye kutwa saloon tu na maduka ya nguo nani ataoa mtu asiye na akili ya maisha...
 
na siku hizi hata hawajali afya zao ni dry za hatari, na mimba wanazichoma kinya unakuta dem katoa mimba tano, baadaye anakwambaia naye anatamani kuolewa awe na familia......!!! how is that possible
 
waacheni wenye nazo waoe........siku ukipata hela ndio fanya mchakato wa ndoa
 
na siku hizi hata hawajali afya zao ni dry za hatari, na mimba wanazichoma kinya unakuta dem katoa mimba tano, baadaye anakwambaia naye anatamani kuolewa awe na familia......!!! how is that possible

hizo Mimba wanapeana wenyewe.......au hizo dry wanafanyana wenyewe si wanaume hao hao

kwendeni zenu kule hamuishi sababu umeshaambiwa hakuna linaloshindikana chini ya jua halafu bado

unauliza HOW IS THAT POSSIBLE
 
bora ingekuwa hizo mimba anapewa na mtu mmoja, na je hatari ya abortion unaijua lakini achilia mbali side effects zake, kwani nani anapoteza mchezo kati ya mwanaume na mwanamke? unachezewa, unamegwa, unaachwa, kamanda anaendelea na maisha kama kawaida, anatafuta mtoto ametula anaweka ndani,
 
na nyie mbadilike bana, mnakera sana. sijui mpojeeee!!!! hivi hamuwezi kukataa papuchi? kwani kila mbunye lazma muidinye? jifunzeni kusema NO, mmekuwa kama mlenda mnateleza tu hata pasipofaa. mxiiiiuuuuuu!!!!
 
sasa hivi hawaolewi kwasababu hizo wanaume tunaogopa gharama zisizo na msingi, mishahara yenyewe ndo hii, biashara ngumu, wenye kutwa saloon tu na maduka ya nguo nani ataoa mtu asiye na akili ya maisha...

ona unavyotapa tapa, we jisemee nafsi yako huoi sababu huna uwezo wa kutunza mke, mshahara wako mdogo. basssii. sio kusemea nafsi za wenzio wakati kila siku tunashuhudia chereko, unafikiri wanaoolewa pale ni misukule? mxiiiiiiiiiiiiuuuu!! kwa mara ya pili.
 
Fimbo ina chapa,kaa chapa,ruka chapa nye nye nye nyeeeeeeeeeee usitake nyenyenyeeeeee
usimnyime mwenzako kitu kizuriiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom