MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,348
- 25,567
Comrade ansompia anakosea yeye au mafunzo yake hayaendi sawa mbona boko linazidi ,yaani mwanasheria anaogopa kukamatwa tena amejificha kwenye vyumba vya mahakama sijui mimbali ya mahakama ?unaomba msaada gani,
be specific magereka?
na kua mkweli,
umefanya nini?
kubali kukamatwa bila shuruti, tunakuja kukusaidia ukiwa huko watakakokupeleka, sawa?🐒
Atoke mara moja kwenye mimbali ya mahakama akamatwe bila shuruti akasikilize a
