😂😂Hao ni nduguzo kaka wewe malizana nao
Una uhakika aliondoka?Ndio,ila ule ujinga ulimshinda,akaondoka huko mapema!
Hivi siku hizi hakutolewi wito wa mtuhumiwa wa makosa ya jinai kujisalimisha badala ya kukamatwa kama kuku 🙌
Anataka kukamatwa au ni polisi wanataka kumkamata??????????????!!!!!!!!!!!Wakili Peter Madeleka amedai kukabiliwa na hatari ya kukamatwa na Jeshi la Polisi, akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ambapo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X ametuma ujumbe wa tahadhari akiomba msaada wa haraka kufuatia hali hiyo.
Katika andiko lake ambalo limeibua mijadala mtandaoni, ameandika: "Nipo KISUTU MAHAKAMANI. NATAKA KUKAMATWA na POLISI. Naomba MSAADA."
Soma pia
Ulishaenda kuhani kizimkazi? Ulipoga magoti? Ulienda na waandishi wangapi?Wamkamate tu
Umejaa ushetani na chuki, mchawi mkubwa wee na mlaji wa nyama za watu na mnyonyaji wa damu za watuWamkamate tu
Unafanya mchezo na kuminywa mapumbu huku ukiingiziwa chupa ya K Vant nyuma?Polisi wapo kisheria kulinda usalama wa raia na mali zao...So wakili Madeleka asiwe na wasiwasi juu ya Jeshi la Polisi.
Comrade ansompia anakosea yeye au mafunzo yake hayaendi sawa mbona boko linazidi ,yaani mwanasheria anaogopa kukamatwa tena amejificha kwenye vyumba vya mahakama sijui mimbali ya mahakama ?unaomba msaada gani,
be specific magereka?
na kua mkweli,
umefanya nini?
kubali kukamatwa bila shuruti, tunakuja kukusaidia ukiwa huko watakakokupeleka, sawa?🐒